Mkuu, mwazo umeuliza swali ili uelezwe lakini sentensi yako ya mwisho una jijibu mwenyewe! VIPI?Kuna wazayuni wa kibongo huku, nina swali, kwnn wakristo wengi mnashabikia waisrael na kuwatukuza kuwa ni Taifa la Mungu? Tuseme wakristo na jews mumeungana ama vipi? Au kwsbb yesu ni muisrael lkn kwnn israel hakuna makao makuu ya ukiristo bali ni majews tu? Na la mwisho, ni kwnn mnawashabikia na kuwapenda waisreal wakati wao wanampiga huyo yesu? Na nyinyi mnajifanya mnamfuata yesu!!mbona kama wakristo hamjielewi hiviiii