Mkuu, mwazo umeuliza swali ili uelezwe lakini sentensi yako ya mwisho una jijibu mwenyewe! VIPI?Kuna wazayuni wa kibongo huku, nina swali, kwnn wakristo wengi mnashabikia waisrael na kuwatukuza kuwa ni Taifa la Mungu? Tuseme wakristo na jews mumeungana ama vipi? Au kwsbb yesu ni muisrael lkn kwnn israel hakuna makao makuu ya ukiristo bali ni majews tu? Na la mwisho, ni kwnn mnawashabikia na kuwapenda waisreal wakati wao wanampiga huyo yesu? Na nyinyi mnajifanya mnamfuata yesu!!mbona kama wakristo hamjielewi hiviiii
Mungu amsamehe alipokosea wewe na mimi we don't know when and how it could be? Kwahiyo kabla kusherehekea tufikilie safari yetu.Kwamungu tumetoka na kwake tutarejea..hivo ndio sisi wa Allah tunavosema.mkuu poleni kwa msiba lakini. sasa mnasafirisha au tunazika palepale tehran?
Sawa mke wa Netanyau tumekusikia.Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu eti LAANA yake Mwenyezi Mungu isikupate?
tunaijua israel sana tu wala hatuna sababu ya kuilaani. Walimkataa Kristo, wakamsulubisha, walichojiapiza walikipata, adui yao anawasumbua, still hatuna chuki naoMnajipebdekeza wakristo wa Africa.. kwa wenye akili ni serikali zao tu wananchi woote hawana mpango na Israel...kama yupo sahihi poa ipo siku na yeye atarejea kwa aliemuumba kama ilivokuwa kwa Fraun alipata number of years aendeleze ushenzi wake na alikuwa na mashabiki pia.
Kumbe wewe ukitukanwa huwa ni astahili yako.Mnamzika Saa ngapi Muinamaji kwa Mola Mwenzenu?
alitakiwa aombe msamaha kipindi yupo hai, sasaivi anaomba msamaha wa nini, deadline yake imepita, hata aombe vipi anaungua moto tu. kutubu tunatubu tukiwa hai, ukifa ni adhabu.Mungu amsamehe alipokosea wewe na mimi we don't know when and how it could be? Kwahiyo kabla kusherehekea tufikilie safari yetu.Kwamungu tumetoka na kwake tutarejea..hivo ndio sisi wa Allah tunavosema.