Arsenal asipochukua ubingwa wa ligi msimu 2021/2022 watakuwa wamejitakia wenyewe

Arsenal asipochukua ubingwa wa ligi msimu 2021/2022 watakuwa wamejitakia wenyewe

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Wanahamu na ubingwa hawa sema tu wabahili

•Man United watakuwa na kikosi kizuri lakini hawana kocha wa makombe😂
•Man City Target yao kubwa kuchukua ubingwa wa UEFA.
•Liverpool kocha atafukuzwa kwa maslai mapana ya klabu.
•Chelsea wataonyesha ushindani top 4.
•Tottenham top six

•Arsenal ni bingwa hatoshiliki masindano mengi zaidi ya karabao na primier league, nguvu kubwa atawekeza kushinda mechi za ligi wachezaji watakuwa na mda mwingi wa kupumzika na kutrain dhidi ya mpinzani ajae.
 
Bingwa atakuwa timu iliyopanda daraja kutoka.championship huko
Naomba nisipigwe mawe pia naomba mtakao fukua kaburi msinizodoe hapa tupo kijiweni tunapiga stori
 
Kuchukua ubingwa ni more than dedication . Sometimes consistency and matter of chance and little bit of lucky.

Vitu ambavyo hata arsenal hawana kwa sasa
 
Hivi
Screenshot_20210730-081601_FotMob.jpg
 
Bingwa atakuwa timu iliyopanda daraja kutoka.championship huko
Naomba nisipigwe mawe pia naomba mtakao fukua kaburi msinizodoe hapa tupo kijiweni tunapiga stori
ipande daraja ichukue ubingwa?
 
Mpaka sasa Arsenal Wanaongoza ligi...Ni kawaida Kuongoza Mpaka Ligi inapoanza..Ikianza watakua no yao ya kawaida 8 au 9.
 
Back
Top Bottom