Arsenal asipochukua ubingwa wa ligi msimu 2021/2022 watakuwa wamejitakia wenyewe

Usiitaje liverpool kwenye mambo ya kijinga [emoji38][emoji38][emoji38].
Sema nini man u wanamkosi asee
Et Liverpool wanasema beki wao bora amepona kwahiyo clean sheets zitakuwa za kutosha... Liverpool kama hawaongezi wachezaji wa ubora huyo kulopu atakuma ndevu mpaka zitoke
 
Arsenal wanaongozaga Alphabetically na ndio inakuwa mwisho wao, bado hawana wachezaji wenye ubora wa kubeba EPL na hata kocha vile vile. Bado watasubiri sana.
 
Pamoja na ubora mdogo wa wachezaji anaweza kuchukua ubingwa.
 
Wanahamu na ubingwa hawa sema tu wabahili

•Man United watakuwa na kikosi kizuri lakini hawana kocha wa makombe😂
•Man City Target yao kubwa kuchukua ubingwa wa UEFA.
•Liverpool kocha atafukuzwa kwa maslai mapana ya klabu.
•Chelsea wataonyesha ushindani top 4.
•Tottenham top six

•Arsenal ni bingwa hatoshiliki masindano mengi zaidi ya karabao na primier league, nguvu kubwa atawekeza kushinda mechi za ligi wachezaji watakuwa na mda mwingi wa kupumzika na kutrain dhidi ya mpinzani ajae.
kwahiyo FA Arsenal halimuhusu😲
 
Msimu huu wanachukua kombe la ligi.
Msimu huu tukiingia top 4 ni bahati sana..
Hatuna timu ya ushindani , hatuna striker mwe nye uhakika wa kupiga goli 20+ , beki zetu tiamaji tiamaji, wakina willian wana vitambi sasa hivi. Tumebaki tunategemea watoto wa miaka 19 wakitoka shule waje kutubeba.
 
Aubameyang amefunga goli 20+ kwa misimu mitano mfululizo isipokuwa last season, kitu nilichogundua kwa Arsenal fans ni too much negativity ht kwa ishu zisizo msingi.
 
Arsenal kuchukua EPL ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu LA sindano
 
Wanahamu na ubingwa hawa sema tu wabahili

•Man United watakuwa na kikosi kizuri lakini hawana kocha wa makombe[emoji23]
•Man City Target yao kubwa kuchukua ubingwa wa UEFA.
•Liverpool kocha atafukuzwa kwa maslai mapana ya klabu.
•Chelsea wataonyesha ushindani top 4.
•Tottenham top six

•Arsenal ni bingwa hatoshiliki masindano mengi zaidi ya karabao na primier league, nguvu kubwa atawekeza kushinda mechi za ligi wachezaji watakuwa na mda mwingi wa kupumzika na kutrain dhidi ya mpinzani ajae.
Leicester city umemueka wap
 
Back
Top Bottom