Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea hawana mambo ya kuvumiliana eti ukae miaka 2 bila kombe haha nani kasema.Nadnani strategy ya Chelsea ndio nzuri inafanya timu kuwa flexible
Asernane na manure walikaa Sana na makocha inawapa tabu kuadjust
Na mbaya zaidi mpira wa Sasa ni pesa na uwekezaji mzuri kwa wachezaji
Chelsea wo hawana hii culture ya kukaa na kocha mda mrefu kocha Kama haja deliver anafungashwa virago
Kila siku dunia wanaibuka makocha Bora .
Miaka 10 iliyopita no one aliyemjua tuchel
Miaka 10 ijayo Kama hatokuwa na consistency no one will care about mtazame Mourinho pale alipo kabaki kutembelea jina tu Hana maajabu yeyote anaelekea kwenye uchizi soon[emoji1]