Nadnani strategy ya Chelsea ndio nzuri inafanya timu kuwa flexible
Asernane na manure walikaa Sana na makocha inawapa tabu kuadjust
Na mbaya zaidi mpira wa Sasa ni pesa na uwekezaji mzuri kwa wachezaji
Chelsea wo hawana hii culture ya kukaa na kocha mda mrefu kocha Kama haja deliver anafungashwa virago
Kila siku dunia wanaibuka makocha Bora .
Miaka 10 iliyopita no one aliyemjua tuchel
Miaka 10 ijayo Kama hatokuwa na consistency no one will care about mtazame Mourinho pale alipo kabaki kutembelea jina tu Hana maajabu yeyote anaelekea kwenye uchizi soon[emoji1]