Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka
Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa
Arsenal atabeba ubingwa wa EPL 2025/2026 kwa tofauti ya Point moja tu
niliwahi kumtabiria Leicester city January na akabeba
Nilimtabiria Napoli January akabeba
bayer L nilimtabiria akabeba
wachezaji wa arsenal ni waoga lkn msimu huu watavunja mwiko
nutarud. May
ni Mimi W.M.N
Germany kwa sasa