Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
WivuHabebi chochote
Bora hao mid teams, kuna wakina west ham wanapambana kubaki ligi kuu. Ukiingia kichwa kichwa unapigwa kimoja wanapaki basiNgoja tuone bado mechi 12 hizi na point ni 4 yoyote anaweza kupasuka, kuna timu nyakati kama hizi kukutana nazo lazima mechi iwe ngumu, Kipindi hiki ni lala salama, Kwa timu kubwa hutakiwi hata kupata droo. Mid table team Kipindi hiki lazima zife na ww.