Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Arsenal have named former Sevilla and PSG boss Unai Emery as their new head coach .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee !Sasa narudi kupiga pamba zangu za chama
Arteta ndio angehitaji muda , huyu ni ndoo juu ya ndooHaya...ila atahitaji muda
Tuombe iwe hivyoArteta ndio angehitaji muda , huyu ni ndoo juu ya ndoo
Sema Thuuuuuuu !!!!Bonge moja la kocha. Mwendo wa kupepea tu na makombe msimu ujao
ULE UONGO ULIOKUWA UNASAMBAA MITANDAONI LEO UMEKUFA KIFO CHA MENDE,Nasikia arteta alikataa pesa ndogo aliyokuwa amepangiwa kwa ajili ya manunuzi alikuwa katengewa £50 mil,Pesa kiduchu sana hii.
Hongera boss unai.
Duh!Sasa narudi rasmi kushangilia timu yangu yule kenge ameondoka!na hata share zake angepewa atasumbua timu kununua wachezaji!shwine kabisa
Baada ya hapo ametwaa Makombe 10 (Europa league 3 na domestic cups 7)Emery alipokuwa CSka Moscow aliwAhi kupoteza game 11 kwa mfululizo, akapigwa chini.
Nawakumbusha tu Arsenal fans
Tumenunua ready made productBaada ya hapo ametwaa Makombe 10 (Europa league 3 na domestic cups 7)
Amepata tuzo ya Kocha bora Ulaya Mara 1
Amepata tuzo ya Kocha bora Ufaransa Mara 1
Amepata tuzo ya Kocha bora wa mwezi La Liga Mara 2.
Hivi vyote vimetufanya tumuamini maana tunahitaji kocha ambae hata akianguka, ana uwezo wa kusimama na akafanikiwa.