Arsenal confirm Emery Appointment

Arsenal confirm Emery Appointment

Baada ya hapo ametwaa Makombe 10 (Europa league 3 na domestic cups 7)
Amepata tuzo ya Kocha bora Ulaya Mara 1
Amepata tuzo ya Kocha bora Ufaransa Mara 1
Amepata tuzo ya Kocha bora wa mwezi La Liga Mara 2.
Hivi vyote vimetufanya tumuamini maana tunahitaji kocha ambae hata akianguka, ana uwezo wa kusimama na akafanikiwa.
Umejibu kitaalam
 
Emery alipokuwa CSka Moscow aliwAhi kupoteza game 11 kwa mfululizo, akapigwa chini.


Nawakumbusha tu Arsenal fans
Hata angepoteza mechi 22 sawa aje tu maana tayari tuna hali mbaya tutamvumilia!
 
Back
Top Bottom