Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kumbe wewe sio mzalendo kwa chama lako, kwenye matatizo hutaki kujulikana kama ni mnazi wa The GunnersSasa narudi kupiga pamba zangu za chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe sio mzalendo kwa chama lako, kwenye matatizo hutaki kujulikana kama ni mnazi wa The GunnersSasa narudi kupiga pamba zangu za chama
Umejibu kitaalamBaada ya hapo ametwaa Makombe 10 (Europa league 3 na domestic cups 7)
Amepata tuzo ya Kocha bora Ulaya Mara 1
Amepata tuzo ya Kocha bora Ufaransa Mara 1
Amepata tuzo ya Kocha bora wa mwezi La Liga Mara 2.
Hivi vyote vimetufanya tumuamini maana tunahitaji kocha ambae hata akianguka, ana uwezo wa kusimama na akafanikiwa.
acha kuamini udaku mtandaoni..Nasikia arteta alikataa pesa ndogo aliyokuwa amepangiwa kwa ajili ya manunuzi alikuwa katengewa £50 mil,Pesa kiduchu sana hii.
Hongera boss unai.
Afadhali huyu kuliko huyo motto wa Pep. Wangempa PV 4 au TH 14 ningefurahi pia. Goonnerz.
Hata angepoteza mechi 22 sawa aje tu maana tayari tuna hali mbaya tutamvumilia!Emery alipokuwa CSka Moscow aliwAhi kupoteza game 11 kwa mfululizo, akapigwa chini.
Nawakumbusha tu Arsenal fans
Afu uzi wa msimu huu ni hatari. Hongereni sana Arsenal.Sasa narudi kupiga pamba zangu za chama
Kabla msimu haujaanza lazima niwe nao mkuu tena fullAfu uzi wa msimu huu ni hatari. Hongereni sana Arsenal.