Arsenal confirm Emery Appointment

Arsenal confirm Emery Appointment

Sasa narudi rasmi kushangilia timu yangu yule kenge ameondoka!na hata share zake angepewa atasumbua timu kununua wachezaji!shwine kabisa
 
Nasikia arteta alikataa pesa ndogo aliyokuwa amepangiwa kwa ajili ya manunuzi alikuwa katengewa £50 mil,Pesa kiduchu sana hii.

Hongera boss unai.
 
Nasikia arteta alikataa pesa ndogo aliyokuwa amepangiwa kwa ajili ya manunuzi alikuwa katengewa £50 mil,Pesa kiduchu sana hii.

Hongera boss unai.
ULE UONGO ULIOKUWA UNASAMBAA MITANDAONI LEO UMEKUFA KIFO CHA MENDE,

TULISEMA HATA KAMA ARSENAL NI WABAHIL HAWAWEZI KUTENGA PAUN MILL50

Gazidis on Arsenal’s reported £50m budget: “We don’t discuss our budgets publicly, but we are a public company. If you want to look at our accounts, you can. We run a self sustaining model & we will continue to do so. All the money that is available will be to Unai.” [HASHTAG]#afc[/HASHTAG]
 
Afadhali huyu kuliko huyo motto wa Pep. Wangempa PV 4 au TH 14 ningefurahi pia. Goonnerz.
 
Emery alipokuwa CSka Moscow aliwAhi kupoteza game 11 kwa mfululizo, akapigwa chini.

Nawakumbusha tu Arsenal fans
Baada ya hapo ametwaa Makombe 10 (Europa league 3 na domestic cups 7)
Amepata tuzo ya Kocha bora Ulaya Mara 1
Amepata tuzo ya Kocha bora Ufaransa Mara 1
Amepata tuzo ya Kocha bora wa mwezi La Liga Mara 2.
Hivi vyote vimetufanya tumuamini maana tunahitaji kocha ambae hata akianguka, ana uwezo wa kusimama na akafanikiwa.
 
Tumenunua ready made product
 
Hahahh mashabiki wenzangu tulio ikimbia Arsenal kipindi cha babu bahili nashauri tusinunue jezi kwanza hadi mechi kumi za mwanzo zipite [emoji23]
 
Back
Top Bottom