Arsenal haijacheza na timu bora tuipime, kusema watachukua ubingwa ni matusi makubwa kwa wapenda mpira

Mmeanza kushuka utakumbia hapa
Yaani kuongoza ligi kwa points 8 toka 7 za awali ndio unaita kushuka?
Kwa taarifa yako mechi tuliyokuwa tunahofia ni hii ya Newcastle na ingine ni ya Aston Ville. Hao wengine tunawanywa kama mtori
 
Mpaka January insisha mtakuwa nafasi ya pili
Yaani kuongoza ligi kwa points 8 toka 7 za awali ndio unaita kushuka?
Kwa taarifa yako mechi tuliyokuwa tunahofia ni hii ya Newcastle na ingine ni ya Aston Ville. Hao wengine tunawanywa kama mtori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…