uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Arsenal ina miaka saba haijashiriki mechi za Klabu Bingwa Ulaya chini ya Kocha Mikel Arteta.
Timu kubwa hata isipochukua ubingwa wa EPL haiwezi kukaa miaka saba bila kucheza UEFA, hii inamaanisha wameshindwa kupata nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi kwa miaka saba mfululizo.
Arsenal haina tofauti na Tottenham Hotsupers
Kwa kuwa Jamii Forums kuna mabindiko yako pinned juu kwa kila timu, ningeomba Moderator auondoe uzi wa Arsenal kwenye sehem ya uzi maalmu kwasababu inakosa sifa ya kuwa timu kubwa.
Asante.