SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Utapata tabu sanaMabingwa wa mchongo, Pep anapanga natokeo ndio maana mpo juu pale
Arteta ni kocha wa championship
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapata tabu sanaMabingwa wa mchongo, Pep anapanga natokeo ndio maana mpo juu pale
Arteta ni kocha wa championship
Ndio maana nasema wewe hujui mpira, ni muandika hovyo tuWatu msiojua mpira ndio maswali yenu haya
Utofauti wa arsenal na spurs ni upi?
Kwasababu ubingwa wa EPL spurs ameshinda km
Fa ameshinda km nyie
Spurs hana kombe la uefa km arsenal na wote mlibahatisha kucheza fainali [emoji16]
Spurs hana kombe la europa km ersenal alivyo
Spurs hana kombe la conference km arsenal alivyo
Kikubwa ni kwamba hizi timu ni maarufu umaarufu wa arsenal uliongezeka wakati wa Wenger kushinda vitaji vitatu vya Epl kwa miaka zaidi ya ishirini pale arsenal [emoji16]
Ndio maana nasema wewe hujui mpira, ni muandika hovyo tu
Tottenham haijawahi KAMWE kuchukua kombe la EPL, wakati Arsenal imechukua Mara tatu 1998, 2002 na 2004
Sawa, ngoja nikuache mwenye maneno mengi kama binti wa kizaramoBahati nzuri I'd yako nakukumbuka uzi wa kombe la Dunia ulitoa comments nikajua kabisa huyu ni mmasai kwenye mpira anajiropokea tu
Spurs ameshawahi kushinda ligi ya uingereza zaidi ya mara moja.. ..
Arsenal ameshawahi kushinda ubingwa wa ligi zaidi ya mara kumi
Sitaki kukuita majina mabaya acha niishie apa
.
Sawa, ngoja nikuache mwenye maneno mengi kama binti wa kizaramo
Tottenham ilishinda EPL cup kwa miaka ipi?
Taja tu hiyo Miaka.
Arsenal ina miaka saba haijashiriki mechi za Klabu Bingwa Ulaya chini ya Kocha Mikel Arteta.
Timu kubwa hata isipochukua ubingwa wa EPL haiwezi kukaa miaka saba bila kucheza UEFA, hii inamaanisha wameshindwa kupata nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi kwa miaka saba mfululizo.
Arsenal haina tofauti na Tottenham Hotsupers
Kwa kuwa Jamii Forums kuna mabindiko yako pinned juu kwa kila timu, ningeomba Moderator auondoe uzi wa Arsenal kwenye sehem ya uzi maalmu kwasababu inakosa sifa ya kuwa timu kubwa.
Asante.
We taahira mijadala inayokuzidi akili usianzishe
Kombe la UEFA ni ndiyo lipi!?... arsenal alicheza final bila kupoteza mechi,kubahatisha kukoje!!Watu msiojua mpira ndio maswali yenu haya
Utofauti wa arsenal na spurs ni upi?
Kwasababu ubingwa wa EPL spurs ameshinda km
Fa ameshinda km nyie
Spurs hana kombe la uefa km arsenal na wote mlibahatisha kucheza fainali [emoji16]
Spurs hana kombe la europa km ersenal alivyo
Spurs hana kombe la conference km arsenal alivyo
Kikubwa ni kwamba hizi timu ni maarufu umaarufu wa arsenal uliongezeka wakati wa Wenger kushinda vitaji vitatu vya Epl kwa miaka zaidi ya ishirini pale arsenal [emoji16]
Mkuu umehama kwa Cristiano Ronaldo saizi umehamia kwa ArsenalArsenal ina miaka saba haijashiriki mechi za Klabu Bingwa Ulaya chini ya Kocha Mikel Arteta.
Timu kubwa hata isipochukua ubingwa wa EPL haiwezi kukaa miaka saba bila kucheza UEFA, hii inamaanisha wameshindwa kupata nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi kwa miaka saba mfululizo.
Arsenal haina tofauti na Tottenham Hotsupers
Kwa kuwa Jamii Forums kuna mabindiko yako pinned juu kwa kila timu, ningeomba Moderator auondoe uzi wa Arsenal kwenye sehem ya uzi maalmu kwasababu inakosa sifa ya kuwa timu kubwa.
Asante.
Hilo ni litaaahira namba moja hapa jamvini, linaanzisha mada halina ushahidi, linakurupuka tuWe taahira mijadala inayokuzidi akili usianzishe
Wewe Taahira uliyeanzisha mada usiyoiweza, acha kuongea kama binti wa kizaramoWanasema ogopa sana mjinga alafu awe na confidence
Umeandika kwa ku bold kabisa kuwa spurs hajawahi kushinda ligi
Unafikiri mtu km wewe unaweza kuelewa kitu
Mwacheni tu huyu hajui loloteMkuu umehama kwa Cristiano Ronaldo saizi umehamia kwa Arsenal
Kwa maana hiyo Aston villa ni kubwa kuliko Manchester city au sio Mkuu
Arsenal alishinda UEFA 1994Utahira wangu ni upi boss
Wewe Taahira uliyeanzisha mada usiyoiweza, acha kuongea kama binti wa kizaramo
Nimekuuliza swali, umesema Tottenham hotspurs imechukua kombe la EPL kwa miaka kadhaa
Hiyo miaka ni IPI??? Mbona huitaji?
Mwacheni tu huyu hajui lolote
Arsenal alishinda UEFA 1994
Wewe umeandika arsenal hajawahi shinda UEFA, hakuna kombe linaitwa UEFA,Bali ni shirikisho la mpira ulaya,likiandaa makombe mbalimbali champions league, Europa league, conference,euro,winners cup... arsenal alibeba UEFA winners cup 1994,ama kubeba champions league hata notingham forest na Porto washabebaAmka acha kuota
WUefa champions league ni kwa ajili ya timu kubwa sio Arsenal
Wewe umeandika arsenal hajawahi shinda UEFA, hakuna kombe linaitwa UEFA,Bali ni shirikisho la mpira ulaya,likiandaa makombe mbalimbali champions league, Europa league, conference,euro,winners cup... arsenal alibeba UEFA winners cup 1994,ama kubeba champions league hata notingham forest na Porto washabeba