Arsenal ina miaka saba haijacheza UEFA! Je, inafaa kuitwa timu kubwa?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Arsenal ina miaka saba haijashiriki mechi za Klabu Bingwa Ulaya chini ya Kocha Mikel Arteta.

Timu kubwa hata isipochukua ubingwa wa EPL haiwezi kukaa miaka saba bila kucheza UEFA, hii inamaanisha wameshindwa kupata nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi kwa miaka saba mfululizo.

Arsenal haina tofauti na Tottenham Hotsupers

Kwa kuwa Jamii Forums kuna mabindiko yako pinned juu kwa kila timu, ningeomba Moderator auondoe uzi wa Arsenal kwenye sehem ya uzi maalmu kwasababu inakosa sifa ya kuwa timu kubwa.

Asante.
 
Utatukanwa wewe !
 
Utaugua bawasiri bure kwa kuwachukia mabingwa wa EPL.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Watu msiojua mpira ndio maswali yenu haya

Utofauti wa arsenal na spurs ni upi?

Kwasababu ubingwa wa EPL spurs ameshinda km
Fa ameshinda km nyie

Spurs hana kombe la uefa km arsenal na wote mlibahatisha kucheza fainali [emoji16]

Spurs hana kombe la europa km ersenal alivyo

Spurs hana kombe la conference km arsenal alivyo

Kikubwa ni kwamba hizi timu ni maarufu umaarufu wa arsenal uliongezeka wakati wa Wenger kushinda vitaji vitatu vya Epl kwa miaka zaidi ya ishirini pale arsenal [emoji16]
Una Umri gani?

Umeanza kushabikia clubs za ulaya lini?

Unasemaje Arsenal ni sawa na Tottenham?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…