Arsenal ina miaka saba haijacheza UEFA! Je, inafaa kuitwa timu kubwa?

Ndio maana nasema wewe hujui mpira, ni muandika hovyo tu

Tottenham haijawahi KAMWE kuchukua kombe la EPL, wakati Arsenal imechukua Mara tatu 1998, 2002 na 2004
 
Bahati nzuri I'd yako nakukumbuka uzi wa kombe la Dunia ulitoa comments nikajua kabisa huyu ni mmasai kwenye mpira anajiropokea tu

Spurs ameshawahi kushinda ligi ya uingereza zaidi ya mara moja.. ..

Arsenal ameshawahi kushinda ubingwa wa ligi zaidi ya mara kumi

Sitaki kukuita majina mabaya acha niishie apa
.
Ndio maana nasema wewe hujui mpira, ni muandika hovyo tu

Tottenham haijawahi KAMWE kuchukua kombe la EPL, wakati Arsenal imechukua Mara tatu 1998, 2002 na 2004
 
Sawa, ngoja nikuache mwenye maneno mengi kama binti wa kizaramo

Tottenham ilishinda EPL cup kwa miaka ipi?

Taja tu hiyo Miaka.
 
Wanasema ogopa sana mjinga alafu awe na confidence

Umeandika kwa ku bold kabisa kuwa spurs hajawahi kushinda ligi

Unafikiri mtu km wewe unaweza kuelewa kitu
Sawa, ngoja nikuache mwenye maneno mengi kama binti wa kizaramo

Tottenham ilishinda EPL cup kwa miaka ipi?

Taja tu hiyo Miaka.
 
We taahira mijadala inayokuzidi akili usianzishe
 
Kombe la UEFA ni ndiyo lipi!?... arsenal alicheza final bila kupoteza mechi,kubahatisha kukoje!!
 
Mkuu umehama kwa Cristiano Ronaldo saizi umehamia kwa Arsenal

Kwa maana hiyo Aston villa ni kubwa kuliko Manchester city au sio Mkuu
 
Wanasema ogopa sana mjinga alafu awe na confidence

Umeandika kwa ku bold kabisa kuwa spurs hajawahi kushinda ligi

Unafikiri mtu km wewe unaweza kuelewa kitu
Wewe Taahira uliyeanzisha mada usiyoiweza, acha kuongea kama binti wa kizaramo

Nimekuuliza swali, umesema Tottenham hotspurs imechukua kombe la EPL kwa miaka kadhaa

Hiyo miaka ni IPI??? Mbona huitaji?
 
Mkuu umehama kwa Cristiano Ronaldo saizi umehamia kwa Arsenal

Kwa maana hiyo Aston villa ni kubwa kuliko Manchester city au sio Mkuu
Mwacheni tu huyu hajui lolote
 
Nasema ogopa sana mtu mjinga alafu awe na confidence

Nilifanya ku qoute uzi wako uliosema kwamwe spurs hajawahi kuchukua ubingwa ili usije kuedit [emoji16]

Na ukasema arsenal amewahi kubeba ubingwa mara tatu tu[emoji16]

Ndugu km kitu hujui unakuwa mpole uombe uelekezwe

Na sio kosa kutokuja kitu hakuna atakayekucheka itakusaidia kupunguza ujinga
Wewe Taahira uliyeanzisha mada usiyoiweza, acha kuongea kama binti wa kizaramo

Nimekuuliza swali, umesema Tottenham hotspurs imechukua kombe la EPL kwa miaka kadhaa

Hiyo miaka ni IPI??? Mbona huitaji?
 
WUefa champions league ni kwa ajili ya timu kubwa sio Arsenal
Amka acha kuota
Wewe umeandika arsenal hajawahi shinda UEFA, hakuna kombe linaitwa UEFA,Bali ni shirikisho la mpira ulaya,likiandaa makombe mbalimbali champions league, Europa league, conference,euro,winners cup... arsenal alibeba UEFA winners cup 1994,ama kubeba champions league hata notingham forest na Porto washabeba
 
Ndio timu zote zilizobeba Uefa champions Ligue ni timu kubwa ikiwemo Porto na N.forest

Arsenal inakosa hizo sifa

Mfano manchester city yupo kwenye peak ya juu sasa ikiwemo uwekezeji mkubwa

Ikitokea ikaanguka kiuchumi bila kuchukua uefa kipindi hiki miaka ishirini ijayo tutaiweka kundi moja na Arsenal tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…