Arsenal kaniacha na Tsh 630,000

Arsenal kaniacha na Tsh 630,000

Tuliomwamini arsenal tujuane
Screenshot_20200802-093710_Opera%20Mini.jpeg
 
Am sure dk 20 za kwanza ulitukana sana😂
Maana tulianza vibaya sana
 
Nimeweka afu nikachukua K Vant nikawa napiga huku nikichek game
Hahahaha lazima hukulewa dk za mwanzo.

Kulikuwa na sababu nyingi za arsenal kushinda.

Captain Piere jez na. 14 ilikuwa inaamua ubingwa wa 14.
 
Hahahaha lazima hukulewa dk za mwanzo.

Kulikuwa na sababu nyingi za arsenal kushinda.

Captain Piere jez na. 14 ilikuwa inaamua ubingwa wa 14.
Man nilikuwa nataka kunya baada ya Chelsea kufunga
 
Mkuu, inakuwaje hiyo kampuni kama ungeshinda bet yako kodi wakukate 20% na sio 18%????

Mbona kama kuna wizi hapo,,,, au imekaaje hii wadau
Budget ya waziri mpango mwaka jana alipandisha kodi kwenye michezo ya kubahatisha
 
Back
Top Bottom