Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una roho ngumu utakuwa unatoka ukoo wa wachawiHabari wakuu!
Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje
Hapo kwenye k vant Tupo pamojaNimeweka afu nikachukua K Vant nikawa napiga huku nikichek game
akili za koromijeDadeek!! Arsenal unaiwekea 300K!! Utakuwa shabiki wa Arsenal!! Timu mbovu kama arsenal huwezi weka hela hiyo for betting!! Leo Wembley wamebahatisha!!
Lower middle income........Habari wakuu!
Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje
View attachment 1524593
onesha na amount ulowinUthibitisho huo hapoView attachment 1524581
Hahahaha lazima hukulewa dk za mwanzo.Nimeweka afu nikachukua K Vant nikawa napiga huku nikichek game
Tuliomwamini arsenal tujuaneView attachment 1524571
Budget ya waziri mpango mwaka jana alipandisha kodi kwenye michezo ya kubahatishaMkuu, inakuwaje hiyo kampuni kama ungeshinda bet yako kodi wakukate 20% na sio 18%????
Mbona kama kuna wizi hapo,,,, au imekaaje hii wadau
Budget ya waziri mpango mwaka jana alipandisha kodi kwenye michezo ya kubahatisha