Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mwambieni PK amshauri na rafiki yake kuhusu jambo hili la utalii, sisi ndio tuna vivutio vingi vya utalii kuliko Rwanda😎😎😎PROUDLY RWANDESE.LIKE CHESS PLAYER ONE STEP AHEAD.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni PK amshauri na rafiki yake kuhusu jambo hili la utalii, sisi ndio tuna vivutio vingi vya utalii kuliko Rwanda😎😎😎PROUDLY RWANDESE.LIKE CHESS PLAYER ONE STEP AHEAD.
aisee kama chama kinachotuongoza ndo mna mawazo ya namna hii tuna hasara,Hela ya ruzuku anayo kula Mbowe ingeelekezwa huku pengine tungekuwa tunawadhamini Man city
Kuanzia msimu ujao NBA nadhani waturuhusu jersey ziwe na matangazo ya biashara..Huku viongozi wetu hata kwenda nje kuiuza Tz huko hawajawahi.
Utalii utaongezekea wapi kama hamjitangazi dadek tutasubiri sana
Tanzania tuna vitu vingi vya kuvutia watalii, Tunatakiwa kuwa na stragies tofauti tofauti za kuwavutia watalii.Huku viongozi wetu hata kwenda nje kuiuza Tz huko hawajawahi.
Utalii utaongezekea wapi kama hamjitangazi dadek tutasubiri sana
Uko.on point sema Utawala huu hauijawahi jifunza kakaTanzania tuna vitu vingi vya kuvutia watalii, Tunatakiwa kuwa na stragies tofauti tofauti za kuwavutia watalii.
Hata tukiwa tumewapa huduma nzuri, itasaidia kuwavutia watalii wengine kupitia sifa nzuri za watalii ambao tayari wamekuja Tz.
Hakuna ubaya, wala haki haribiki kitu kama tutajifunza kutoka kwa nchi nyingine mbinu wanazozitumia na sisi tukawaiga katika kujifunza ili na sisi tupate mafanikio na kukua kiuchumi.
Ingawa changamoto zinatofautiana katika kila nchi kutokana na mazingira, hali ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata miundo mbinu.
Serikali yetu haina budi kuangalia upya sera, na mikakati ya kuweza kutumia njia za kisasa katika kuvutia watalii.
Rwanda wamefanya jambo zuri sana na watapiga hatua kubwa kwenye sector ya utalii kupitia arsenal.
ila wewe ni mwehu sana,naona unatamani ungekuwa mke wa MboweHela ya ruzuku anayo kula Mbowe ingeelekezwa huku pengine tungekuwa tunawadhamini Man city
Tatizo kina HK hawako creative kabisa maana hawajui kama utalii is all about matangazo nje