Arsenal kuitangaza Rwanda msimu huu

Arsenal kuitangaza Rwanda msimu huu

Rwandans are so creative compared to Tanzanians when comes into Economical issues. Sisi inaonekana hatuna vipaumbele😀😀😀
 
Hongera zao sana sana

Nchini hapa naona vichwa kufanyikisha haya..

Vichwa vipo ila havionwi.. wa chini wakiviona wanafanya juu chini visijulikane ili wasizidiwe..
 
Tutaiga tu hakuna shida, Kagame is our role model
 
Huku viongozi wetu hata kwenda nje kuiuza Tz huko hawajawahi.
Utalii utaongezekea wapi kama hamjitangazi dadek tutasubiri sana
Kuanzia msimu ujao NBA nadhani waturuhusu jersey ziwe na matangazo ya biashara..

Tukajiokotee hata Mavs au Suns tuweke tutangazo ketu..
 
Huku viongozi wetu hata kwenda nje kuiuza Tz huko hawajawahi.
Utalii utaongezekea wapi kama hamjitangazi dadek tutasubiri sana
Tanzania tuna vitu vingi vya kuvutia watalii, Tunatakiwa kuwa na stragies tofauti tofauti za kuwavutia watalii.

Hata tukiwa tumewapa huduma nzuri, itasaidia kuwavutia watalii wengine kupitia sifa nzuri za watalii ambao tayari wamekuja Tz.

Hakuna ubaya, wala haki haribiki kitu kama tutajifunza kutoka kwa nchi nyingine mbinu wanazozitumia na sisi tukawaiga katika kujifunza ili na sisi tupate mafanikio na kukua kiuchumi.

Ingawa changamoto zinatofautiana katika kila nchi kutokana na mazingira, hali ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata miundo mbinu.

Serikali yetu haina budi kuangalia upya sera, na mikakati ya kuweza kutumia njia za kisasa katika kuvutia watalii.
Rwanda wamefanya jambo zuri sana na watapiga hatua kubwa kwenye sector ya utalii kupitia arsenal.
 
Uko.on point sema Utawala huu hauijawahi jifunza kaka
 
ni ubunifu ulioenda shule, sina hakika kama watawala wenu wana uwezo wa kufikiria mpaka hapo. sana sana wataiga
 
Back
Top Bottom