Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

Wadau wa Emirati na Ngome Kongwe nawatakia mechi bomba ikiambatana na kipigo kutoka katika bunduki za wanaImarati
 
BJ, angalia sana. Unakumbuka maneno yako siku ya Manu na Baca? mpaka sasa hivi naona mzee wa BG ameshachanganyikiwa!

Shadow, ni kwamba tunaweza kuwashangaza au mkatushangaza..Vyovyote vile nitakubaliana na hali sema mkifunga du!..hamtashikika nyie
Ile ya ManU na Baca acha tu, aibu kweli kweli..historia now!..All the best 2mr
 

Msimu huu striker aliyefunga ni Eduardo tu goli 2 kati ya 15! inamaana foward bado butu. Mi ni mshabiki wa Arsenal lakini kwa style yao hii game ikiwa tite mabeki na kiungo hawapandi basi hali si shwari.

Man U ana kazi kuchomoka
 
Kwa mwaka huu Arsenal ni wakali. Kwanza wameanza kwa kipigo tu kwa wote waliocheza nao. Hii ni balaa. Man U wajiandae kuaibika kwa kweli........ DHAHAMA ITAWAJIA KWA KASI SANA.....

FURGUSON SI MTAALAM SANA WA KUIBUA VIPAJI VYA WAJEZAJI.... WENGER NI KIBOKO YAO...


MWENZIO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI
 
Yamebaki masaa machache ili hawa gunners wapokee kichapo pale OT

Afadhali UEFA sasa wamegundua janja ya akina Eduardo ya kujirusha rusha ili kupata matuta ya bure. Kesho tutawafundisha kabumbu nyie Gunners na kuwachapa bakora sio chini ya tatu !
Kuna beki gani ya kuwazuia Berba, Nani, valencia na baba lao Wazza?
 
Tutaibuka kidedea 3 kwa 1 na kumliza SAF
 
One of the divers will be missed (Ronaldo), anyway Eduardo is a good cover of that antics
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=0pDbP-tx4-A[/ame]
 
Sky divers wapo wengi Arsenal, Fabregas, Van Persie, Eboue....the list is long mazee...!

...na nyie CHELSEA mna 'nyungunyungu' kwa jina la Didier Drogba, maana angalau angekuwa Scuba-Diver tungeelewa mara moja moja anaibuka!
 
Msimu huu striker aliyefunga ni Eduardo tu goli 2 kati ya 15! inamaana foward bado butu. Mi ni mshabiki wa Arsenal lakini kwa style yao hii game ikiwa tite mabeki na kiungo hawapandi basi hali si shwari.

Man U ana kazi kuchomoka
aliye kudanganya forward butu nani? kutokana na formation ya 4 3 3 imetokea kwamba forward wetu nao wamekuwa wakihold mpira kitu ambacho kimesababisha beki za wapinzani kuopen space kwa midfield wetu kuweza kufunga magoli.forward mwenda wazimu ndio hatompa pasi midfield amabye ana chance ya kufunga kuliko yeye.kwahio forward uzuri wake wanauwezo wa kufunga na kucreate magoli kwahio ni vizuri zaidi.nafasi zitakapo kuwepo za kufunga watafunga na kama wana uwezo wa kutoa pasi za magoli watatoa.
 
dua la mwewe hilooo ahhh sorry DUA LA KUKU........
HAYA wakubwa...............................refa masanilo tusubiri yetu macho best
 
KUPENDA KITU KUNA MAMBO.!
Mi natabiria leo Gallas atajiangusha ili wapate penati kama ile ya Celtic.
hapo watakua wameanza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…