Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

Kwa mwaka huu Arsenal ni wakali. Kwanza wameanza kwa kipigo tu kwa wote waliocheza nao. Hii ni balaa. Man U wajiandae kuaibika kwa kweli........ DHAHAMA ITAWAJIA KWA KASI SANA.....

FURGUSON SI MTAALAM SANA WA KUIBUA VIPAJI VYA WAJEZAJI.... WENGER NI KIBOKO YAO...

MWENZIO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI
Kaibua kipaji gani wakati wachezaji wote hao wametengenezwa yeye akawanunua
 
Gunaz banaaa!, mnakuwaga na moraliiii, afu mkijafungwa Le Professer wenu na timu yenu mnanza kuitoa kafara. Lets wait and see.

NB; Msikimbie lakini.
 
Wameshakimbia zile kelele hamna tena
 
Kwa mwaka huu Arsenal ni wakali. Kwanza wameanza kwa kipigo tu kwa wote waliocheza nao. Hii ni balaa. Man U wajiandae kuaibika kwa kweli........ DHAHAMA ITAWAJIA KWA KASI SANA.....

FURGUSON SI MTAALAM SANA WA KUIBUA VIPAJI VYA WAJEZAJI.... WENGER NI KIBOKO YAO...

MWENZIO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI

Wewe umeanza kuangalia na kufuatilia ligi ya Uingereza lini?
 
Bet yako ni Sh au $$ ngapi? Nataka niweke oda ya bia mapema kabsa, staki longolongo.

Wapenzi wa Arsenal naona wamekimbia wote, kumbe hawana imani na timu yao, wanasubiri bahati nasibu kila siku, sasa leo titaona!
 
Superb goal huyu jamaa Arshavin mhhhh shughuli pevu!
 
Haya wale wapenzi wa man u kumekucha...belinda,masanilo mupo
 
Back
Top Bottom