Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Hili aliliona hata Jose Mourhino, OT kutakuwa na maamuzi ya kizushi, Red Card, penalti zidi ya timu pinzani, uamuzi wa ovyo ovyo kufavor manure...inaudhi!
Yah, waamuzi wanaboronga sana mechi za Man U na hawakuanza leo. Ila wacha maringo ya FA yatafikia ukomo hivi karibuni pale klabu zitakapoanzisha ligi yao, kwani nani ataka ujinga? Watu wanahangaika kununua wachezaji kuwekeza fedha zao kwenye klabu halafu refa aje atie kitumbua kwa penati za kijinga? Kama leo naona kuna tukio Nani na Sagna wanagombea mpira, Nani anafanya last touch, Sagna anashangaa kisha anamlaani refa, refa kwa kibri kabisa anampa kadi wakati kosa ni lake!