Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

tunakata rufaa kwa tff sikubali penalty wamepewa na goal wametunyima...........
 
Maamuzi ya kijinga zidi ya hawa watoto....van persie equalizer should have remained!
 
Duh, leo ningekula bet yangu. he he he..naona washika magobole walishastukia dili..
 
Shadow: to answer your question: "Arsenal kanuna leo!!!!!!!"
 
Mazee nimengalia kwa makini, Gallas was out play! linesmen kiazi yule

Sawa baba!!!

La kuvunda halina ubani!!!, ngoma ya kitoto haikeshi sasa vile vichekechea vya arsenal vikakojoe vilale, watu wazima waanze kuangalia movie
 
game ilikuwa yetu sema makosa yetu tuliofanya mawili ndio yametucost powa tu.timu ni nzuri na msimu huu tutakuwa na mafanikio makubwa.
 
Tenga ndo atafanya nn mzee
Ndugu ni hali ya kuchanganyikiwa tu nilikuwa na matumaini sana leo Arsenal tuna shinda...basi ngoja twende hispania kati ya Real Madrid na Depotivo
 
Sawa baba!!!

La kuvunda halina ubani!!!, ngoma ya kitoto haikeshi sasa vile vichekechea vya arsenal vikakojoe vilale, watu wazima waanze kuangalia movie
hivi wewe ushafungwa mechi ngapi na timu gani? alafu ndio ujaribu kufikiria mbele.sisi tuko powa sana na nakubali we help man united to come back to the game,they were lost.
 
game ilikuwa yetu sema makosa yetu tuliofanya mawili ndio yametucost powa tu.timu ni nzuri na msimu huu tutakuwa na mafanikio makubwa.
kilicho tucost ni kujifunga, hapo ndiyo tukaanza kupoteana daa imeniuma kweli...
 
Najua BAK na Shadow na Next Level hii thread ni kituo cha polisi, watani poleni mageti yashavunjwa tayari.
 
ashley_cole_280x390_877912a.jpg
kilicho tucost ni kujifunga, hapo ndiyo tukaanza kupoteana daa imeniuma kweli...

Boys msijali sana kufungwa kwa uma....tutawafuta machozi Chelsea tukikutana nao!
 
wenger nae mbishi lol,mpira umeisha unataka kukaa uwanjani akati unaambia uondoke yanini sasa? huyu wajina kiboko kweli degree ya uchumi inamchanganya akili .
 
Back
Top Bottom