Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

Washabiki wa Arsenal mpira dakika 90 tafadhalini eeh?

Afadhali walipata muda wa kushangilia, Diably Kama Lucas, Rooney kama Eduardo!!!

Has anyone seen Arsene Wenger wa bongo around??
 
jamani Arsenal hatuna mchezaji wakuu tuko kwenye aibu hii maana Manu watachonga sana hii game likiisha hivi..daa hapa kinachofata nazima simu na kesho kijiweni hawanioni
 
Wenger vp bado unamatumaini?..au ndo umeishakubali.
 
Arsenal kama vile tunapoteana vile..

NI kweli aisee, sio uwanjani tu, hapa hapa jamvini.... hata kwenye vi-pubs napo arses wamejikunyata

Anyway, you have 5 minutes extra time, kazi ipo
 
another bikra on the verge of being lost!!!!
 
babatov hivi ni mchezaji wa kimataifa kweli au kaamua kutubeba Arsenal
 
Back
Top Bottom