Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

ashley_cole_280x390_877912a.jpg

Boys msijali sana kufungwa kwa uma....tutawafuta machozi Chelsea tukikutana nao!

Ha! Ha! Hapo mzee unagusa pabaya....
 
wenger nae mbishi lol,mpira umeisha unataka kukaa uwanjani akati unaambia uondoke yanini sasa? huyu wajina kiboko kweli degree ya uchumi inamchanganya akili .

Hahaah nimejikuta nacheka baada ya kusoma hiyo post lol....!!
 
Hahaah nimejikuta nacheka baada ya kusoma hiyo post lol....!!
mkuu nakuona unaweka comments za ushindi mpaka kwenye post za kubenea loool.hongera sina uchungu sana kwa vile timu yangu nimeikubali kwamba tuko powa just bad luck leo.tumuangalie etoo sasa hapa.
 
mkuu nakuona unaweka comments za ushindi mpaka kwenye post za kubenea loool.hongera sina uchungu sana kwa vile timu yangu nimeikubali kwamba tuko powa just bad luck leo.tumuangalie etoo sasa hapa.

Haha kwa kube..who? Ebanae nawaangalia hapa naona AC wameanza mechi vizuri. AC Milan bila Maldini naiona tofauti lol.
 
hivi wewe ushafungwa mechi ngapi na timu gani? alafu ndio ujaribu kufikiria mbele.sisi tuko powa sana na nakubali we help man united to come back to the game,they were lost.

Kwa timu yangu ya veteran pale leaders tushafungwa mechi kama moja tu katika kipindi hichi ya July-August. ila kwa EPL, timu yangu ni liver na wamepoteza mechin mbili kati ya nne walizocheza [lost to Tottenham na Aston Villa].
 
Haha kwa kube..who? Ebanae nawaangalia hapa naona AC wameanza mechi vizuri. AC Milan bila Maldini naiona tofauti lol.

Duh, hii vunavuna ya penati naona na Etoo na yeye kavuna ya kwake. 2-0 Inter.
 
Matokeo yangu rasmi japo mi sio mpenzi wa Arsenal ni kuwa Arsenal 2 man u 0, msiniulize kwa nini....
 
There could have been few clearer penalty claims and Dean was standing near enough to make the perfect decision. Inexplicably, he chose to say no.

At that point, there seemed to be only one winner. How wrong those doubters were as Ferguson's team surged back, Giggs the architect behind the comeback just as Arshavin had sparked Arsenal earlier.
The difference was Dean said yes when United claimed their penalty as Rooney went crashing to the ground after Giggs had supplied the pass that sent him through one-on-on with Almunia.
Man of the match: Tough call but Wayne Rooney looked a clas act throughout, setting up plenty of attacks and creating the penalty for United's opening goal.

Moment of the match: Fletcher took out Arshavin inside the United penalty area, handled the ball in the tackle and was waved on. Arsenal fans should have known that things weren't going their way right there.

Attempt of the match: Van Persie hit the crossbar from a free-kick with Foster well beaten. Could have changed the complexion of the game.

Save of the match: Almunia's save from Nani in the dying moments was superb.

Talking point: Are United guaranteed a penalty at Old Trafford? Should they start games there 1-0?

Goal of the game: Arshavin scored an absolute beauty. A superstar in the making.
 
Gattuso kala red..he he he..mi ndo maana sipendagi kuangalia Serie A..

Kocha wa AC Milan naye ni kituko kama Wenger, Gattuso aliposababisha penalti ni kama aliomba kutoka alivua hata ile captain arm band, ajabu akamwacha matokeo kala red....huyu Gatusso sijui kama ni Mzima! Una yellow card unafanya tackle ya kipuuzi kwa Sneijder ....Etoo kapiga la 3!
 
hii mipira inachanga sasa mtu hujui uangalie ac milan vs inter milan au real madrid vs deportivo huku madrid 3-2 bado dakika 14 madrid wanaongoza.
 
Kocha wa AC Milan naye ni kituko kama Wenger, Gattuso aliposababisha penalti ni kama aliomba kutoka alivua hata ile captain arm band, ajabu akamwacha matokeo kala red....huyu Gatusso sijui kama ni Mzima! Una yellow card unafanya tackle ya kipuuzi kwa Sneijder ....Etoo kapiga la 3!

Kocha wa AC ni kiungo mahiri wa zamani Leonardo. Gattuso kaumia na alikuwa anavutavuta muda ili Seedorf aingie, lakini ndo ivo tena jamaa hamnazo akafanya tackling nyingine. Aliyefunga goli la 3 ni huyu mkoba Maicon. Naona magoli bado yapo maana Eto hajatakasa nyota bado. Halafu Hunterlaar yu wapi?
 
Mzee wa Totenham alikuwa anamtaka nadhani ameopt kwenda Ujerumani!
 
Man of the match: Tough call but Wayne Rooney looked a clas act throughout, setting up plenty of attacks and creating the penalty for United's opening goal.

Man oof the match ni huyu Fletcher na mwenzake Song, wachezaji wengine sikuona mchango wao kwa kweli.
 
Mzee wa Totenham alikuwa anamtaka nadhani ameopt kwenda Ujerumani!

Hapana kiongozi, Hunterlaar yupo AC Milan na nilitegemea leo angekuwepo kwenye XI kwenye hii derby. Sielewi nini kimejiri naona pale mbele amenza huyu dogo Pato na Borrelo.

Hata ivyo sasa ivi hata akiingia pilau ishaingia maji, hakuliki hakupakuliki.
 
Talking point: Are United guaranteed a penalty at Old Trafford? Should they start games there 1-0?

Hata Arsenal nao siku izi wanazivuna penati, lakini nadhani Man U ni spesho kes huenda kuna umafia nyuma ya pazia huwezi jua waamuzi kwanini wa-act strangely kwenye games za Man U.
 
Hata Arsenal nao siku izi wanazivuna penati, lakini nadhani Man U ni spesho kes huenda kuna umafia nyuma ya pazia huwezi jua waamuzi kwanini wa-act strangely kwenye games za Man U.

Hili aliliona hata Jose Mourhino, OT kutakuwa na maamuzi ya kizushi, Red Card, penalti zidi ya timu pinzani, uamuzi wa ovyo ovyo kufavor manure...inaudhi!
 
Back
Top Bottom