Arsenal (The Gunners) | Special Thread

naona sendorous anarudi kuchukua nafasi ya djourou.jamaa sijui wamegombana nini na wenger mpaka kumlazimisha kuondoka sema sasa hivi naona tunamuhitaji zaidi.theo walcott nae anaweza kurudi weekend hii kuja kuongeza nguvu manake dogo anatuoga sana na speed zake.
 
Arshavin set to face Cottagers
Walcott also close to return, while Van Persie faces fitness test


Habari njema hii, sasa tunamsubiri Nasri nae, akipona naamini tutaibuka alau na kombe moja ilimradi Rosicky, Eduardo, Nasri, Walcoltt,RVP na Arshavin wabaki fiti, tumekuwa hatuna bahati kwa majeruhi season 2 zilopita.
 
...wajameni eeh, huyu ARSENAL#1 nae vipi???


 
...huenda! kama hako ka dobi alikokavisha kagauni! No wonder AW kamuweka benchi 'indefinately'...

Unajua kiongozi, mbwa kama huyu huwa wanafugwa sanasana na masista du au wanawake kwa ujumla. Sasa nashindwa kushangaa inakuwaje namba wani wenu anakuwa hivi au kuna jingine?
 
Unajua kiongozi, mbwa kama huyu huwa wanafugwa sanasana na masista du au wanawake kwa ujumla. Sasa nashindwa kushangaa inakuwaje namba wani wenu anakuwa hivi au kuna jingine?

...sawasawa kabisa,...kina Geri Halliwell au Paris Hilton ndio wafanye ujinga huu,...dume zima lina dog-walk ka pooch kama haka tena na leash ya pink?! huyo demu (partly hidden) alomshika mkono kamuweza kweli!

wanaume wanadunda na Pit-Bulls, Bull-dog, Alsatian, Doberman Pincher nk...

kanitia aibu kweli huyu jamaa! aaaarrgggghhh...
 

teh teh teh..aah mi sitiii neno nisije aribu mfungo sita wangu bure.
 
sometime magazeti nayo, huyu alikuwa anarudi shopping na mkewe mmiliki wa hiko kajibwa na alikuwa amebeba mizigo ndio akamwambia amshikie hako kajibwa paparazi wakachukua opportunity.



 
sometime magazeti nayo, huyu alikuwa anarudi shopping na mkewe mmiliki wa hiko kajibwa na alikuwa amebeba mizigo ndio akamwambia amshikie hako kajibwa paparazi wakachukua opportunity.

Hivi kwani winter imeshaanza au ni mimi mshamba kutoka Pemba?
 
nyie nanyi na yeboyebo wenu arsenal.............Mashabiki wa arsenal wanadanganywa sana eti timu yao inacheza vizuri sana.Mi nakataa kwani hapa duiniani sijawahi kuona timu inacheza vizuri halafu haipati vikombe only arsenal and only england hakuna popote duniani.......
 
Hivi kwani winter imeshaanza au ni mimi mshamba kutoka Pemba?

Inawezekana hii picha imepigwa kitambo ila mapaparazi nao wana strategy zao katika kufanya biashara wakati mwengine mpaka wakaukiwe kabisa ndio utawaona akina z-list celebrity magazetini, tofauti na A-lister ambao inakuwa kama mchuzi wa beberu papohapo.
 

Kushinda vikombe ni kunategemeana na mambo mengi sio kutandaza mpira pekee, kuna vitu kama fedha, facilities, key players availability n.k.
Ukisema kuwa Arsenal haitandazi mpira wakati Pundits wote wanaoelewa mpira wanakubali kwamba level ya football wanayocheza Arsenal iko juu huo ni unazi, kama ni mshabiki wa "kutandaza kabumbu" hili halipingiki.
 
...wajameni eeh, huyu ARSENAL#1 nae vipi???​



huyu jamaa mda wake mfupi sana.kipindi kile alikuwa anataka namba alikuwa anadaka kinoma mpaka leahmann akataka kumpiga, sasa hivi anajiona hana mtu wa kumsumbua amezubaa kinoma golini.uzuri wa kipa ni pale anapotoa save za kushinda mechi lakini siku hizi watu wakitungua tu popote pale hata kati kati ya uwanja goli.kama mambo yenyewe ndio ya kuzurura na vijibwa kama paris hilton basi hatuna kipa.Wenger aingie sokoni mapema mno kutafuta kipa.
 

...halafu ndio alodhani atamshawishi Capello kumchagua awe England #1...kasindwa 'pecking order' ya Spain analeta kigugumizi chake 'ukweni'!
 
...halafu ndio alodhani atamshawishi Capello kumchagua awe England #1...kasindwa 'pecking order' ya Spain analeta kigugumizi chake 'ukweni'!
england asahau kabisa.england nao wasi wasi wao tu lakini yule dogo joe hart kipa mzuri tu.
 
Na Adebayor amesema katu hatoacha kushangilia magoli yake 'emotionally' he he..hata mimi namuunga mguu. Hivi kuna logic gani kwa mshabiki kuruhusiwa kumzomea mchezaji ila mchezaji akishangilia goli anapewa adhabu! Kwanini? why?

Hebu viongozi nipeni muongozo.
 

...Ade aligusa 'Raw nerve',...unadhani Arsenal ingeshinda siku ile angefungiwa? ...hawa FA nao wana double standards tu...

yule spoilt brat wa Manure aka Rooney kila siku anakituko kipya uwanjani, kwakuwa ni kipenzi cha SAF na England haguswi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…