Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...Ade aligusa 'Raw nerve',...unadhani Arsenal ingeshinda siku ile angefungiwa? ...hawa FA nao wana double standards tu...

yule spoilt brat wa Manure aka Rooney kila siku anakituko kipya uwanjani, kwakuwa ni kipenzi cha SAF na England haguswi...!

Ohoo umemgusia Rooney? wasubiri akina Belo sasa huyu huwa haguswi, hana baya.
 
Welcome back,ulikuwa na paper nini hizi wiki 3 zilizopita
Ukweli uko ulaya kuna ubaguzi ,sidhani kama Adebayor anstahili kufungia kisa staili ya kushangilia, fikiria mtu kama Drogba/Diof/Adebayor ndio angempiga shabiki ngumi kama Bellamy alivyofanya nafikiri lazima angefungiwa
 
...mtaje na huyu bana...😀

article-1163806-0405B294000005DC-896_468x402.jpg
 
sometime magazeti nayo, huyu alikuwa anarudi shopping na mkewe mmiliki wa hiko kajibwa na alikuwa amebeba mizigo ndio akamwambia amshikie hako kajibwa paparazi wakachukua opportunity.

almunia2.jpg

almunia.jpg
asante sana mkuu manake kipa wetu alinitisha kidogo lol.
 
Welcome back,ulikuwa na paper nini hizi wiki 3 zilizopita
Ukweli uko ulaya kuna ubaguzi ,sidhani kama Adebayor anstahili kufungia kisa staili ya kushangilia, fikiria mtu kama Drogba/Diof/Adebayor ndio angempiga shabiki ngumi kama Bellamy alivyofanya nafikiri lazima angefungiwa

nilikuwa busy na mambo ya biashara, FA always wanakuwa waoga kwa wachezaji wa kiingereza hasa wachezaji wa Man utd na Liverpool.
Anyway hongera kwa ushindi na kuongoza ligi.
 
...za siku tele waungwana, leo tuna Fullham, pointi tatu ni muhimu.
Kaa mkao wa kula, pointi 3 muhimu kama tunataka kupunguza gap, na mechi kama hizi ugenini ndio huwa zinatusumbua.
Full time Wigan 3- Chelsea 1 mpira kweli hautabiriki.
 
tumshukuruni manone kwa kipindi cha kwanza.hizo ndio zinaitwa match winning saves kipa anatakiwa afanye sio almunia kila kitu anasindikiza na macho tu.naona ugonjwa wetu wakuwa relax unaendelea (lack of winning mentality).
 
Manone ni mzuri sana wakuu maana zile goli mbili alizookoa 1st half angekuwepo Almunia yangekuwa mengine
 
Halafu Wenger sijui kwa nini hupenda kumuanzisha Bendtner,yaani jamaa hamna kitu kabisa eti,na huyu Diaby leo ndo kalegea mpaka basi
 
tumshukuruni manone kwa kipindi cha kwanza.hizo ndio zinaitwa match winning saves kipa anatakiwa afanye sio almunia kila kitu anasindikiza na macho tu.naona ugonjwa wetu wakuwa relax unaendelea (lack of winning mentality).

Dogo mzuri sana aisee,Almunia hamna kitu kabisa
 
Halafu Wenger sijui kwa nini hupenda kumuanzisha Bendtner,yaani jamaa hamna kitu kabisa eti,na huyu Diaby leo ndo kalegea mpaka basi
bendtner mwenyewe analalamika sana kuhusu kupangwa kulia lakini wenger mbishi.angemueka ben kati rvp kulia.
 
AW umeona Manone alivyocheza huo mpira?,dogo mzuri sana huyu,anacheza vizuri mipira ya krosi
 
Back
Top Bottom