naam mazungumzo yanaendeleaMchukueni
Unamjua Victor Boniface?Sio kazi rahisi kumpata mchezaji mzuri January, vinginevyo uvunje benki wakati unasubiri kiboko cha PSR
FA hawawezi kutusameheArsenal have submitted an appeal to have Lewis Skelly's redcard overturned
Safi sana
Creativity? nadhani unaona anavyostruggle ku deliver against low block teams au mid block pia hana ball striking au transitional threats mithili ya Bruno fernandes au KDB so hawezi kukupa enough G/A, Odegaard ni #8 controller flani for build up na progressionKwanini? Naona ana footwork nzuri, skills na pia anakua na back up ya Rice na Merino
Hawa wapuuzi walikomaa na red ya Rice ili wasionekane wamekosea.Na mimi niliwahi kusema kuhusu marefarii, wanaojua mpira zaidi humu wakasema tunatafuta excuseView attachment 3216981
Sasa tungekuwa tumepoteza points against wolves ingekuwajeNa mimi niliwahi kusema kuhusu marefarii, wanaojua mpira zaidi humu wakasema tunatafuta excuseView attachment 3216981
Tuongeze na hiiArsenal are in talk with Duran
Arsenal are monitoring situation of Sesko
Arsenal consider signing Vlahovic
Arsenal feel they can sign a striker this window
Arsenal added Isak to their list of targets with initial contact made
Arsenal have reached verbal agreement to sign Ivan Ferguson
Ivan toney will sign with Arsenal this month
Arsenal are closing in on Rodrigo deal with Madrid, loan move with buy option until June
Arteta confirm Arsenal are going to sign a striker
Wissa set to join London side Arsen as verbal agreement has been reached.
Arsenal are advancing on deal to sign Ajax striker.
Despite reports on Real Madrid and more clubs keen, Watkins insists on joining Arsenal
πππππππππ
MpyaArsenal are in talk with Duran

mnazugwa π hamsajili
Mbona kama uongo? Yaani Watkins kwa 60m? Tena January? Tena mwishoni mwa dirisha huku wao Villa hawana muda wa kutafuta mbadala na wajikute wamebaki na Duran tu? Sidhani...