BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,064
- 2,312
Villa wana washambuliaji wawili hatari, Watkins na Duran, ambapo kila mmoja ni first eleven player katika timu nyingi ulaya.Mbona kama uongo? Yaani Watkins kwa 60m? Tena January? Tena mwishoni mwa dirisha huku wao Villa hawana muda wa kutafuta mbadala na wajikute wamebaki na Duran tu? Sidhani...
Arteta na Arsenal wamepeleka £60m Villa kwa ajili ya Watkins amid of Al Nasr £75m bid kwa Duran. Hapa ndo nilijua kuwa ni changa la macho la Arteta na Arsenal.
Villa hawawezi kuwatoa mastriker wote wawili kwa wakati mmoja. Ila mmoja anatoka fresh kabisa.Kwa case yetu, Duran anaenda Uarabuni leo.
Arteta na Arsenal wamepeleka bid kwa Watkins, wakijua kabisa itakataliwa, ila washapata kisingizio mbele ya mashabiki. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]