Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kipindi Arsenal ilisemwa tunamtaka Buendia mimi pia niliunga mkono, ilikua ni kipindi ambacho tunahitaji AM vibaya mno.

Buendia akachukuliwa na Villa, ikiwa ni response yao kwa kumuuza Jack city.

Juzi Buendia katolewa kwa mkopo ameshindwa kufikia matarajio. On the other hand Arsenal tumetoa kwa mkopo wafuatao

Marquinhos
Vieira
Tavares

Katika hawa ambaye naamini tunamhitaji ni Tavares
 
Reiss Nelson
Sambi Lokonga.
 
Hii eufa msimu huu hata sielewi ikoje ikoje, warudishe ile ile ama lah, watafute mfumo mwingine, waache huu.
Kwa hatua hii imekaa vizuri, mambo ya kupangiwa kundi moja home and away ilikuwa siyo. Sasa unaona watu wanaumbuka huko play-offs.
 
Screenshot_20250131_171208.jpg
Screenshot_20250131_171208.jpg
 
Utashangaa anakuja Rashford
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chid migoli atawasadia sana mtabeba mpaka Uefa msimu huu, ila mtaweza kumlipa £350,000 kwa wiki?
Kesho Mancity wapo hapo Emirates kuchukua points zao 3 kiulaini kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chid migoli atawasadia sana mtabeba mpaka Uefa msimu huu, ila mtaweza kumlipa £350m kwa wiki?
Kesho Mancity wapo hapo Emirates kuchukua points zao 3 kiulaini kabisa.
Ukija kujua kwamba kihistoria mtani wako wa jadi ni man city na mafanikio yao ni aibu kwako utaanza kuelewa mpira. Sasa hivi wewe bado
 
Ukija kujua kwamba kihistoria mtani wako wa jadi ni man city na mafanikio yao ni aibu kwako utaanza kuelewa mpira. Sasa hivi wewe bado
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Man City kwa Man Utd tunamchukulia kama under dog tu, ni kama hapa bongo Simba na Yanga wanavyoichukulia KMC au Azam.
Man Utd mtani wake wa jadi miaka yote ni Liverpool tu.
Hata nyie Arsenyau mashabiki wa Utd huko Uingereza wanawachukulia kama Mtibwa sugar, mtushukuru tu sisi Mashabiki wa United huku Afrika walau tunawapa ka airtime flani hivi na kuwachukulia kama ndio watani wetu wa jadi, ila kiuhalisia hako katimu kenu wazungu wanakaona ni ka mid table team fulani hivi kanako jitahidi kupigapiga pasi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chid migoli atawasadia sana mtabeba mpaka Uefa msimu huu, ila mtaweza kumlipa £350m kwa wiki?
Kesho Mancity wapo hapo Emirates kuchukua points zao 3 kiulaini kabisa.
£350m kwa wiki, Flano amka usingizini utajowa/poo.
 
£350m kwa wiki, Flano amka usingizini utajowa/poo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu nisamehe bure, unajua kwa sisi tuliozoea kushikashika hizi pesa zetu za madafu milioni ndio imekaa sana kichwani, hapo kwa Chidi bwenga nilikua namaanisha pound laki tatu na nusu.
 
Back
Top Bottom