Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
Basi ft ni 0-1Kwa namna mechi inavyoenda inamaanisha bila refa kutoa penati isivyo sahihi ilibidi iwe nil nil mpaka muda huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ft ni 0-1Kwa namna mechi inavyoenda inamaanisha bila refa kutoa penati isivyo sahihi ilibidi iwe nil nil mpaka muda huu.
Hii post Flano umeisoma?Mfano wewe ni beki unayechipukia kwenye timu yako yupo Magalhaes, Saliba, Timber, White, Skelly, Calafiori, Tomiyasu, Kiwior na Tierney.
Kwa umri wako siyo tatizo ukiwa first 11 hawa mabeki wote hakuna anayezidi 26 utasubiri miaka mingapi ili uje utoboe?
Kisha kuna timu inakutaka mabeki wao tegemezi ni Maguire, Martinez, Yolo, Shaw, Malacia, Evans, De Ligt. Wanakulipa vizuri pia.
Wewe ungebaki Arsenal?
Hii mechi ni risk kwakua sisi ni wabovu kwenye transition na breaking play na hii ni aina ya scoring city kapigwa msimu huu.Muhindi mwenyewe kamkataa city, kenge na nyumbu endeleeni kutupigia keleleView attachment 3221885
Msishangae city akamaliza juu yetu.Yaani ni kwamba tunakutana na city ikiwa tayari imefanya usajili huku sisi tukiwa tunapiga mark time
Kwa odds hizo za 1.95 arsenal hatutoboi labda odds zibadilike,Muhindi mwenyewe kamkataa city, kenge na nyumbu endeleeni kutupigia keleleView attachment 3221885
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hayo ni maneno tu ya mkosaji anaongea huku roho inamuuma, kwani huyo baiSkelly wenu amesubiri miaka mingapi kuingia 1st eleven?Hii post Flano umeisoma?
Ili kuwa bingwa, shinda mechi zako bila kujali mpinzani anabebwa au la.
Sasa si sababu halali kabisa hizo? Sisi lazima tushinde japokuwa tunadidimizwa kila wakati, huku wenzetu wanashinda huku wanabebwa kila wakati. Lazima sisi tuchoke mwisho wa sikuIli kuwa bingwa, shinda mechi zako bila kujali mpinzani anabebwa au la.
Misimu miwili iliyoisha mlikuwa mnaangalia zaidi makosa ya refarii yaliyo ifavor city dhidi ya wapinzani wake, msimu huu mmehamia kwa liverkuku!
Kila msimu mnatafuta sababu ya kushindwa kwenu kunyanyua kwapa.
LIVERPOOL- EPL
LIVERPOOL/BARCA- UCL
MAN UTD -EUROPA
NEWCASTLE- CARABAO
CITY -FA
HAALAND/SALAH -KIATU
ARSENAL- PHASE SIX
Huu ni mtego ili mhindi apige hela, stuka kijana.Muhindi mwenyewe kamkataa city, kenge na nyumbu endeleeni kutupigia keleleView attachment 3221885
Sasa cha kushangaza nini hapo wakati ligi bado mbichi kabisa na injini ya city imeanza kupata moto? Ikitokea leo mmepigwa gap tayari ni point 4 kama sijakosea.Msishangae city akamaliza juu yetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wazee wa conspiracy theory, yaani hii timu kuanzia kocha, wachezaji mpaka mashabiki wake hua wanaishi kwa imagination's.Hii mechi nafikiri ilitakiwa aisimamie Michael Oliver ila ametolewa.
Kuna conspiracy theory moja nimeisikiliza wiki iliyopita. Michael Oliver hua anaenda Saudi kuchezesha mechi moja na kurudi UK kila akienda analipwa 20K£ wakati akichezesha hizi mechi za EPL hulipwa 1K£ kwa wiki.
Shirika linalomuita na kumlipa linamilikiwa na mmiliki wa City. Hoja ikasemwa, hata kama haambiwi kua anagewa hiyo pesa ili awapendelee yeye binafsi hashindwi kujiongeza ili azidi kugewa hizo kazi.
Pia at some point Barcelona ilikutwa na hatia ya kuwahonga marefa, kipindi wanakutwa na hii hatia kocha alikua Pep na SD alikua Aito.
Makosa 115 ambayo EPL inajivuta kutoa hukumu yametokea wakati kocha ni Pep na SD ni Aito. The theory believe kwamba uwepo wa watu walewale city, waliohonga wakiwa Barca, inaashiria ni sahihi kuamini hawa pia wameleta hayo mambo EPL.
Nakumbuka msimu uliopita zilikua zimebaki mechi 5 kama sikosei, arsenal na liva walikua wanatuacha point 2 Arsenal akiwa kikeleni.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wazee wa conspiracy theory, yaani hii timu kuanzia kocha, wachezaji mpaka mashabiki wake hua wanaishi kwa imagination's.
Mtu anakaa anajitungia kastori kake mwenyewe halafu anaanza kujiaminisha na kuwaaminisha wenzake.
Humu kila siku tunaongea Arsenyau shida yao kubwa ni mentality, siku watakayo achana na maisha ya ndoto wakaishi kwenye uhalisia wa mambo ulivyo watabeba mpaka kombe la dunia.
Sasa hayo Makosa 115 yaliwazuia nini Arsenyo kuchukua ubingwa msimu wa 2022/2023 hali yakua mmeongoza ligi kwa siku 258 na zimebakia mechi 6 ligi kumalizika Arsenyo inaongoza ligi kwa point8 dhidi ya City?
Hayo Makosa 115 yamezuia nini kubeba kombe msimu ulioisha mpaka City akawa overtake na kumaliza ligi kwa tofauti ya points chache na nyinyi?
Utetezi tu ,,,,sera yenu kwa academy/home grown haiko sawa! Vp kuhusu Chido Obi ? Refer pia case za kina Serge, balogun, iwobi n.k