Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanangu sina MB nimekaa kwenye mnara mmoja hivi ila nataka kusema COYG
 
🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Havertz alivyokosa mpaka Guardiola kashika kichwa kachuchumaa chini kiasi ya kwamba hajaamini ni kwanini Havertz kakosa pale.. Havertz ni fala sana, upo peke yako kabisa unashindwa hata kupiga on target
 
Yan maajabu sana
 
Hii ndio tofauti yetu sisi na Liverpool. Na ndio maana Liverpool hayupo pale juu kimakosa.. Liverpool kwenye pressing wapo vizuri sana hawajawahi kuridhika.. Ukiingalia hii mechi ni kama vile Arsenal wameridhika na hawataki kuwapress Man city ambayo inaonekana wapo Vulnerable sana. Kuna muda wanacheza back pass ambazo hazina maana wakisubiri man city wafanye makosa ndio watumie nafasi.
 
Back
Top Bottom