Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nipo safarini, sicheki game.

Hao wanaomtukana kai wamechelewa kumjua, sisi tulisema kai ni kiazi, wao wakabaki na takwimu zao sijui ariel duels, sijui kimeenda kimerudi..
Mie nilishagongelea msumari kai ni kiazi na hafai kuchezea arsenal.

Ni kama vile nilivyopokea matusi wakati nasimama na partey, watu walipiga kelele wee, kiko wapi.

Kai ni kiazi.
Ikiwezekana miaka ya kai ipunguzwe apewe partey
Nakumbuka mwaka jana ulimponda sana 😹
Vipi jezi yangu safari hii napata? 😜
 
Wanaomchukia KAI leo kibarua wanacho kule Twitter.

AI (nonewthing) ameshaanza kurusha mawe.
 
Nipo safarini, sicheki game.

Hao wanaomtukana kai wamechelewa kumjua, sisi tulisema kai ni kiazi, wao wakabaki na takwimu zao sijui ariel duels, sijui kimeenda kimerudi..
Mie nilishagongelea msumari kai ni kiazi na hafai kuchezea arsenal.

Ni kama vile nilivyopokea matusi wakati nasimama na partey, watu walipiga kelele wee, kiko wapi.

Kai ni kiazi.
Ikiwezekana miaka ya kai ipunguzwe apewe partey
Ebwana tumeshinda na Kai kafuta makosa
 
Back
Top Bottom