Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

team.png
 
Unfortunately sikupata fursa ya kumuona Zinedine Zidane, lakini kwa uchache niliomuona that nigga was a top top player, kombe la dunia 2006 niliangalia, nigga was a superstar, all lights on him, Cannavaro hakustahili ballon d'or lkn it's because of zizzou's undisciplined conduct na kupoteza final lkn si kwa sababu za kimpira.
 
Swali langu kwa yeyote hapa ndani.

Ule mpira ambao Calafiori amescore jana Kai angeuunganisha kama ulivyo? Martinelli? Saka? Trossard? Odegaard? Unahisi nani angeuunganisha kati ya hawa?

Au kati ya hawa nani angeutuliza ili aanze back passes?

Calafiori hata goli alilowafunga City lilikua kwa mtindo huu huu.
Jibu simple, Odegaard angeutuliza na kuanza ku turn left and right
 
Kama Arteta ameshiriki kuongopa juu ya usajili ili mashabiki watulie usajili usipofanyika nini tutarajie haswa kuanzia game na City Jumamosi
 
Baada ya vitisho na abuse kwa mke wa Kai Arteta came forward na kusema tunatarajia kusajili.

Nikasema hii ni plan ya kutuliza mashabiki. Leo ni tarehe 27 kila akiulizwa yeye anasema wanafanya assessment.

Kutokua serious ni kwingi
Kocha hii janja2 sana.
 
Hii documented stats inaonyesha idadi ya mechi ambazo Michael Oliver kachezesha timu zote.

Kwa timu ambazo kachezesha kuanzia mechi 50 ni Arsenal pekee ndiyo ina yellow nyingi na red nyingi kutoka kwake. Pia ameitisha faulo nyingi dhidi ya Arsenal kuliko timu zingine.

Michael Oliver ametoa penalty nyingi dhidi ya Arsenal kuliko in favour of Arsenal. Arsenal ilicheza na City Kovacic akatakiwa kugewa yellow ya pili ili iwe red ila Michael Oliver hakutoa red akasema ni kwakua hataki kuathiri mechi negatively.

Same scenario ikaenda kwa Doku.

Kisha akampa second yellow Rice na kuaffect game negatively. Juzi akampa Myles red, kisha second half maamuzi mengi yalikua in favour of Arsenal. Online inasemwa ni kwakua alijua ile red ame-mess up.

Enjoy the stats
20250128_083526.jpg
 
Kama Arteta ameshiriki kuongopa juu ya usajili ili mashabiki watulie usajili usipofanyika nini tutarajie haswa kuanzia game na City Jumamosi
Sio kazi rahisi kumpata mchezaji mzuri January, vinginevyo uvunje benki wakati unasubiri kiboko cha PSR
 
Hii documented stats inaonyesha idadi ya mechi ambazo Michael Oliver kachezesha timu zote.

Kwa timu ambazo kachezesha kuanzia mechi 50 ni Arsenal pekee ndiyo ina yellow nyingi na red nyingi kutoka kwake. Pia ameitisha faulo nyingi dhidi ya Arsenal kuliko timu zingine.

Michael Oliver ametoa penalty nyingi dhidi ya Arsenal kuliko in favour of Arsenal. Arsenal ilicheza na City Kovacic akatakiwa kugewa yellow ya pili ili iwe red ila Michael Oliver hakutoa red akasema ni kwakua hataki kuathiri mechi negatively.

Same scenario ikaenda kwa Doku.

Kisha akampa second yellow Rice na kuaffect game negatively. Juzi akampa Myles red, kisha second half maamuzi mengi yalikua in favour of Arsenal. Online inasemwa ni kwakua alijua ile red ame-mess up.

Enjoy the stats
View attachment 3216194
michael ni mshirika wa 115fc
 
Back
Top Bottom