Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Calafiori shot to the bottom right corner! Wolves 0-1 Arsenal

1737826855066.gif
 
Ukiwa shabiki wa arsenal utafurahia goli la kwanza mechi ya juzi UEFA alilofunga Declan rice

Ila ukiwa mpenzi wa mpira utachukia namna striker KAI alivyohangaika kutoa pasi kwa mido RICE badala ya kufanya simple turning na kuscore.

Nimemfanyia critical analysis Kai harvets bila chuki Wala bias na kuhitimisha kwamba huyu ni squad player.

Kuna watu wataleta numbers na records za Kai na wataenda mbali zaidi watamlinganisha na other strikers in the elites Europe leagues ila wasisahau kitu kidogo tu.

How goals are scored,in what condition, pressure of the match in which goals are scored is what makes a difference between strikers
Mtakubali tu kuwa kai ni KIAZI, 🤣🤣
 
Moja ya jambo la kipumbavu na kijinga kuwahi kufanya na bodi ya Arsenal ni kumfanya Kai Havertz kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa bila kufahamu mchango wake atakaoleta kwenye timu. Wakati ni dhahiri huko alikotoka taa nyekundu ilikuwa imeshawaka kuonesha tayari EPL imemkataa. Bodi ilifanya betting ya Kijinga na nafikiri Arteta alishiriki kiasi kikubwa kuwaongopea bodi na ndio maana inatumika nguvu kubwa sana kwa Arteta kutuaminisha lilikuwa chaguo sahihi.. Hii muda sio mrefu itatupa matokeo negatively hasa pale mikataba ya wachezaji wanaomaliza mikataba kuomba pesa ndefu ili kuongeza kandarasi. Tusije kufikiri watu kama wakina Saliba na Gabriel ambao kandarasi zao zinaelekea ukingoni wataichekea bodi kwenye swala la malipo wakiona anayelipwa pakubwa haakisi uhalisia wake uwanjani. Na vitu vidogo kama hivi mara nyingi ni rahisi kuharibu psychology ya wacheza na kusababisha dressing room instability.
 
Swali langu kwa yeyote hapa ndani.

Ule mpira ambao Calafiori amescore jana Kai angeuunganisha kama ulivyo? Martinelli? Saka? Trossard? Odegaard? Unahisi nani angeuunganisha kati ya hawa?

Au kati ya hawa nani angeutuliza ili aanze back passes?

Calafiori hata goli alilowafunga City lilikua kwa mtindo huu huu.
 
Kuna uwezekano Arteta alinufaika na hilo deal la kumnunua
 
Swali langu kwa yeyote hapa ndani.

Ule mpira ambao Calafiori amescore jana Kai angeuunganisha kama ulivyo? Martinelli? Saka? Trossard? Odegaard? Unahisi nani angeuunganisha kati ya hawa?

Au kati ya hawa nani angeutuliza ili aanze back passes?

Calafiori hata goli alilowafunga City lilikua kwa mtindo huu huu.
Kai angeunganisha ingekuwa offside
 
Ni akili za kipumbavu kumuacha mchezaji matured kama Calafiori nje na kukipanga kile kitoto kipuuzi,halafu kinafanya faulo kinajifanya kulalamika,Arteta ana usenge sana
 
Unaambiwa Michael Oliver maishani mwake amaetoa red cards nyingi kwa Arsenal kuliko timu yoyote.

Hapa yupo kwenye majukumu yake ya kila siku.
Screenshot_2025-01-26-13-53-56-783_com.twitter.android-edit.jpg
 
Back
Top Bottom