Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niliwaambia Liverpool tutamkamata February, hesabu zangu bado zipo valid

Liverpool upcoming games
Man city vs Liverpool
Liverpool vs Newcastle

Arsenal upcoming games
Arsenal vs westham
N. Forest vs Arsenal

UEFA or EPL moja letu
Acha kutukumbusha mambo ya mwaka juzi na jana.
arsenal ndoo
haaland kiatu
onana golden gloves
 
Robin van Persie when asked about where he considers himself at HOME:

"For me, only Manchester United is home, they gave me my first PL championship and applauded even when I scored against United in Europa League with Fenerbarçe.’’

‘’As for Arsenal, the fans here are willing to give up my shirt even though I have devoted 8 years to the club. I really don't want to go there again."
Huyu mtoto fala kweli.
 
Huyu mtoto fala kweli.
Alikuwa anacheza mechi 5 msimu mzima anarudi kwny meza ya matibabu.....kala Pesa ya bure sana ya Arsenal halafu anategemea tumkubali kwa undava alotufanyia baada ya kuona kapona kabisa na akatutosa....ilitakiwa tupangwe na wale Feyernood tukutane naye azomewe mwanzo mwsho
 
Huyu bwege na Ashley Cole mimi sitawasamehe aslani.
 
Alikuwa anacheza mechi 5 msimu mzima anarudi kwny meza ya matibabu.....kala Pesa ya bure sana ya Arsenal halafu anategemea tumkubali kwa undava alotufanyia baada ya kuona kapona kabisa na akatutosa....ilitakiwa tupangwe na wale Feyernood tukutane naye azomewe mwanzo mwsho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Punguzeni hasira ndugu zangu, mtaishia kujipa maradhi ya moyo pasi na sababu zozote za msingi.
RVP amewatumikia kwa zaidi ya miaka 8 pasi na kunufaika na kombe lolote la maana kutokana na ubahili pamoja mentality yenu.
Kipindi hicho Arsenyo ilijikita zaidi katika kutengeneza faida kwa kukuza na kuwauza wachezaji, Arsenyo ya kipindi hicho mafanikio yake ilikuwa ni kuingia top 4, sasa utamlaumu vipi mchezaji kama RVP mwenye hadhi ya kubeba tuzo ya Ballon d'or kwa wakati huo baada ya kuamua kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine zitakazo timiza ndoto yake?
Kwa shabiki yoyote wa Arsenyo mwenye uelewa ilitakiwa amshukuru sana RVP kwa kuwapambania kwa moyo wake wote, tena kwa kipindi kirefu cha miaka 8 bila ya kuchoka.
Nyinyi mlitaka RVP aishi maisha yake yote hapo Arsenyo?
RVP alikua anaipambania timu kwa uwezo wake wote lakini Arsenyau ndio iliyokua inamuangusha, matokeo yake alikua anaambulia tu tuzo binafsi za mfungaji bora pasi na kubeba kombe kwa misimu yote aliyokaa hapo Unyanini.
Ndoto zake akaja kuzitimiza alipohamia kiumeni.
1715763359442.jpg
1715835084513.jpg
 
Ni rahisi AM au winger kucheza kama CF, Merino looks lost
 
Back
Top Bottom