Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Shida ni kwamba tatizo letu hatuna attack ambayo itatubeba kwenda kwenye kombeKwenye game ya Liver na Wolves, jinsi Liver wanavyocheza hata kama wameshinda, utagundua Liver upepo umeanza kukata.
Game yao na Aston villa nikajua hawa wakijitahidi sana sare. Na kwa jinsi Man city anavyocheza sasa hivi hasa nilivyoona ile game yao na Newcastle, hapa Liver lazima afe.
Nilikuwa nimekata tamaa ya ubingwa, kumbe mbio bado kabisa, kimasihara masihara Arsenal anachukua kombe.