[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau mkishindwa kupata points3 leo mechi zinazofata dhidi ya Chelsea, Liverpool na Newcastle msitegemee kupata hata point moja, na hio nafasi ya pili mnayotamba nayo kila msimu anaenda kuichukua Nottingham Forest na Mancity hawezi kukubali kumaliza ligi chini yenu.
Msimu huu mnamaliza ligi mkiwa nafasi ya 4 halafu kuna misukule itaanza kumsifu Tetea kua ame overachieve kwa kumaliza ligi ndani ya top4.