Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Odegaard wakati anatoka Madrid alikua ni mchezaji maana kabisa, ila kina Lacazette ndio walimuharibia future yake.Ashindwe Fabregas aweze Odergaard[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Odegaard wakati anatoka Madrid alikua ni mchezaji maana kabisa, ila kina Lacazette ndio walimuharibia future yake.Ashindwe Fabregas aweze Odergaard[emoji28]
dah kmmk mmeanza ku edit sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Odegaard wakati anatoka Madrid alikua ni mchezaji maana kabisa, ila kina Lacazette ndio walimuharibia future yake. View attachment 3265086
Msajili wewe unayewezaIsack wa ndotoni labda, au tuwape Nunez
Sawa arsenal2004[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wazee wa Netflix tayari mmeshakubali kunyanyua mikono juu, msikate tamaa wanangu pambaneni points 15 sio nyingi sana[emoji16][emoji16][emoji16]
Kamalizaneni na wanywa ulanzi(Waholanzi) halafu mkakutane na kina Mbappe wanawasubiria kwa hamu.
2025 bado ligi haijaisha
Mjomba mbona unatema sana nyongo. Hii Arsenal ukiifuatilia sana unaweza ukakonda tu bila ya sababu.Kuna watu wanadhani Arteta kumpanga Odegaard labda haoni mapungufu yake, ni hivi Odegaard alisajiliwa km project lkn amegeuka kuwa a disappointment, kupata regular spot ni kwamba there's no replacement, mbadala wake ni fabio viera ambaye naye ni project, lkn within the next two seasons simuoni akiwa mchezaji wa Arsenal. Kwa sasa kiufundi Odegaard ana umuhimu kwenye maeneo mawili, build up na press lkn kwenye zone yake he is a liability, maana yake kwa ujio wa physical ST km Isaak, Osimhen or Sesko na an orchestra #6 kama zubi, Odegaard anakuwa useless in the team, utahitaji no.10 ambaye ni more creative, mwenye transitional threats, goal scoring ability, kubwa zaidi ball striking ability.
Mi mwenyewe nilishangaa kweli. Yani mtu ana equalize badala ya ku rush na mpira wao wanaenda kushangilia kwenye kibendera.
Kama hujui basi nikwambia tu it happened before.Arteta: 6years No EPL trophie
Slot: 6months EPL winner