Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila siku nasema humu ili arsenal muanze kupata vikombe kuna takataka nyingi hapo
: Odegaard, partey, Rice(hana consistent), trossard, sterling (huyu afungwe jela kabisa anakula mshahara hewa), Skely, Calafiori., Martineli, havertz, na kenge zote zilizopo on loan zikiongozwa na Fabio,,, !

Wa kubaki Arsenal ni Gabriel M, Saka, Saliba, Raya , Timber ,
Hakuna team isiyo na wachezaji wa kawaida ,na hakuna namna team inaweza kuwa na wachezaji Bora kila nafasi ndio maana hata Madrid mabingwa wa ulaya Kwa sasa unaona midfield yao Ina yumba baada ya ton kuoumzika na Luka kuchoka, wamebaki wachezaji wa kawaida sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna siku nilikua namsikiliza professor Janabi akielezea kuhusu afya ya mwili na akili kiujumla, msisitizo wake siku zote ni kuhusu mlo sahihi pamoja na mazoezi.
Alinifurahisha zaidi alivyotoa tahadhari kuhusu mashabiki wa mpira, tahadhari yake kubwa ilikua kwa mashabiki wa Arsenyo, aliwasisitiza sana kushabikia timu yao kwa nguvu zote pale tu ligi inapoanza, ila akatoa tahadhari kubwa kua inapoisha December na kuanza mwaka mpya kwa shabiki yoyote anaeithamini afya yake aachane kabisa kuifatilia Asno.
Takwimu zinaonesha wepenzi wengi wa kandanda wanaosumbuliwa na ugonjwa moyo ni mashabiki wa Arsenyau.
 
Kwa kuzingatia takwimu za jana na kikosi tungecheza na Atletico, Lille au Madrid jana tungefungwa.

Jana Arsenal ilikua ina big chances 6 dhidi ya PSV.

Atletico, Madrid na Lille statistically hawajapaki basi ila waliweza kuzuia mpinzani asitengeneze big chance. Wakati Arsenal ilimpa PSV big chances 3.

Pamoja na hayo, hizi timu 3 zote zina ST na forwards ambao kitakwimu wanatafuta magoli. They do it better kiasi kwamba ingawa hawana big chance ila waliweza kuscore.

Means, watajaribu kuscore kwa set pieces na hapohapo ni kuconvert possibility into a chance. Jambo ambalo Arsenal kwetu ni la moto.

This means, bila kubadilika sisi hatuna maisha marefu huko mbele. Kubadilika iwe kimfumo, mindset au wachezaji.
Narudia.

Hatujabadilika tumesuluhu na nyumbu.

Tunaenda kwenye CL sasa
 
Mkuu una miaka 13 sasa hujabeba epl
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni kweli kabisa tuna miaka 13 hatujabeba Epl ila nyinyi mna miaka 21 hamjabeba Epl, kiufupi kuna mashabiki wa Arsenyo wako university hivi sasa ila hawajawahi kushuhudia timu yao inabeba Epl tokea wazaliwe.
Kingine Man Utd hapo juzi tu 2017 tumetoka kubeba kombe la Ulaya(Europa League) hebu niambie wewe timu yako mara ya mwisho kubeba kombe la ulaya ilikua mwaka gani?
 
Narudia.

Hatujabadilika tumesuluhu na nyumbu.

Tunaenda kwenye CL sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Castr baada ya kumalizana na hao wanywa ulanzi(Waholanzi) unaona kuna dalili yote ya kusonga mbele na kubeba kombe kwenye hii michuano ya Mabingwa wa Ulaya?
 
Haram football na kutegemea kushinda kwa penati.

Nje ya hapo chances ni chini ya 50%
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli hivi sasa sijui hata ana hali gani huko aliko?
Nakumbuka wewe ulikua ni miongoni mwa watu wachache sana humu waliokua wanampinga Masingeli tena kwa hoja zenye mashiko ila chawa zake humu wakiongozwa na mkorea pamoja na arsenal2004 walikua wanakubeza na kukuona kama vile ni mamluki.
 
Mnyama kaganda hewani.😀
downloadfile.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio tumekubaliana Arsenyau ubingwa wetu msimu huu ni kumfunga City goli 5 na Psv goli 7 jumla tuna makombe mawili.
Ila buloo na wewe ubingwa ni kubaki EPL na kusuluhu na Arsenal.
 
Back
Top Bottom