Wachezaji washachokaVile vimashuti alivyokuwa anapiga odegaard haviusiani na sisi kukosa number 9,so kuna tatizo nikipata muda ntaaddress ila sio number tisa
Sasa Arteta ngoja aendelee kujidanganya na merino na kai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji washachokaVile vimashuti alivyokuwa anapiga odegaard haviusiani na sisi kukosa number 9,so kuna tatizo nikipata muda ntaaddress ila sio number tisa
Mbona unanifatafata sana mkuu🤠🤠🤠....hivi mngefanikiwa jumapili kutufunga si ndo ungekuwa unani quote kwny majukwaa yte....kuwa muungwana sheikh tumefunga swaum ngumu😀😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli hivi sasa sijui hata ana hali gani huko aliko?
Nakumbuka wewe ulikua ni miongoni mwa watu wachache sana humu waliokua wanampinga Masingeli tena kwa hoja zenye mashiko ila chawa zake humu wakiongozwa na mkorea pamoja na arsenal2004 walikua wanakubeza na kukuona kama vile ni mamluki.
Swaumu ngumu Kwa Arse8 pekeyake? 😆Mbona unanifatafata sana mkuu🤠🤠🤠....hivi mngefanikiwa jumapili kutufunga si ndo ungekuwa unani quote kwny majukwaa yte....kuwa muungwana sheikh tumefunga swaum ngumu😀😀😀😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole na hongera kwa swaumu mkuu.Mbona unanifatafata sana mkuu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....hivi mngefanikiwa jumapili kutufunga si ndo ungekuwa unani quote kwny majukwaa yte....kuwa muungwana sheikh tumefunga swaum ngumu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣 not yetKwenye pot ya leo kuna possible champions watatu Inter, Bayern na Barcelona.
Pot ya J5 possible champions ni wawili, Arsenal na yeyote atakayepita kati ya Atletico na Madrid. Kisha baada ya mechi yao anabaki possible champion mmoja kwa pot ya J5.
We are fucked in terms of probability
Umechanganyikiwa nini mzee🤣 not yet
Yes fucked indeed...Kwenye pot ya leo kuna possible champions watatu Inter, Bayern na Barcelona.
Pot ya J5 possible champions ni wawili, Arsenal na yeyote atakayepita kati ya Atletico na Madrid. Kisha baada ya mechi yao anabaki possible champion mmoja kwa pot ya J5.
We are fucked in terms of probability
Ngumu kwetu sote pamoja na kuku vishingo wa Anfield😂😂😂..mnaongoza kundi halafu mnakuja kutolewa round of 16....poleni majirani😂😂😂Swaumu ngumu Kwa Arse8 pekeyake? 😆
Tena na timu iliyocheza play offNgumu kwetu sote pamoja na kuku vishingo wa Anfield😂😂😂..mnaongoza kundi halafu mnakuja kutolewa round of 16....poleni majirani😂😂😂
Yaani tusingezingua hata EPL angekuwa anapumulia mashine. Ila Arteta mamaee....Ngumu kwetu sote pamoja na kuku vishingo wa Anfield😂😂😂..mnaongoza kundi halafu mnakuja kutolewa round of 16....poleni majirani😂😂😂
Au....je PSV akipindua meza kibabe na kututoa leo?Kwenye pot ya leo kuna possible champions watatu Inter, Bayern na Barcelona.
Pot ya J5 possible champions ni wawili, Arsenal na yeyote atakayepita kati ya Atletico na Madrid. Kisha baada ya mechi yao anabaki possible champion mmoja kwa pot ya J5.
We are fucked in terms of probability
Nyie mmefocus kwenye kombe gani hadi hivi sasa?Ngumu kwetu sote pamoja na kuku vishingo wa Anfield😂😂😂..mnaongoza kundi halafu mnakuja kutolewa round of 16....poleni majirani😂😂😂
Naacha kushabikia mpira. Humu hamtaniona tenaAu....je PSV akipindua meza kibabe na kututoa leo?
Huu msimu hata ukitaka kulaumu ukicheki reality unabaki kujisemea moyoni tumejitahidi. City kaumia Rodri kapoteana kila sehemuHonestly mwaka ambao sitamlaum arteta ni mwaka huu
Majeruhi yamemuangusha
Klop msimu aliopata majeruhi wengi hata top 4 hakufika
Msimu uliopita tulifunga magoli mengi sana mpaka tukaona hatuna haja ya striker
Ila dirisha lijalo akigoma kusajili proven striker sitakuwa upande wake milele
Watu hawaangalii mpiraHuu msimu hata ukitaka kulaumu ukicheki reality unabaki kujisemea moyoni tumejitahidi. City kaumia Rodri kapoteana kila sehemu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtakatifu Anne sio kawaida yako kabisa, yaani nimeshangaa mpaka dakika hii haujazungumzia chochote kuhusu Darwin Nunez.Nyie mmefocus kwenye kombe gani hadi hivi sasa?