Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

tetea kasema ana bet asenyoz kushinda Epl+ Ucl
Kocha anaweza ongea lolote.

Ni mashabiki wa nyumbu tu ndiyo hua hawachambui wanachosikia, ila Arsenal tunajitahidi kuchambua
 
Wikiendi tuna mechi na nyny jirani....habari za PSV achana nazo wale tutawapelekea under 16 wacheze nao ndo level yao
Matokeo ya mechi 3 za mwisho za Arsenyo

Arsenyo 0-1 Westham
N.Forest 1-1 Arsenyo
Man Utd 1-1 Arsenyo

Halafu kuna fixtures ya hizi mechi 3 nyingine lazima Arsenyau mdondoshe points9

Arsenyo vs Chelsea
Liverpool vs Arsenyo
Arsenyo vs Newcastle

Liverpool watabeba kombe kwa gape la zaidi ya points20 msimu huu, hii ni fedheha kubwa sana kwa Epl.
 
Point yako ni ipi shehe....hueleweki naona hapa kama umepiga siasa hivi....hzo timu tatu ulizoweka hapo juu hamna hata moja italayotufunga
 
Screenshot_2025-03-12-21-54-44-366_com.instagram.android-edit.jpg
 
Kocha anaweza ongea lolote.

Ni mashabiki wa nyumbu tu ndiyo hua hawachambui wanachosikia, ila Arsenal tunajitahidi kuchambua
🤣 hakika ruben katuambia msimu ujao tutaanza na phrase 1
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie Asaninyau ombeeni sana Real Madrid apite, ila mkikutana na hawa vijana wa Diego Simeone kwa hio forward yenu ya kina Nanweri na Moringo mnaweza msipate shot on target hata moja.
 
Nisha sema hapo juu
Hawa wahuni kwanza awachoki full energy mwanzo mwisho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Madrid wenyewe na hio safu yao bora kabisa ya ushambuliaji duniani wameambulia shot on target moja, tena kwa tabu mno ndani ya dakika 45 za kipindi cha Kwanza, sasa nyie na forward zenu hizo za kina Moringo mnaweza msipate on target hata moja kwa dakika zote 90 za mchezo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie Asaninyau ombeeni sana Real Madrid apite, ila mkikutana na hawa vijana wa Diego Simeone kwa hio forward yenu ya kina Nanweri na Moringo mnaweza msipate shot on target hata moja.
Aisee nawaonea huruma sana hawa pimbi ,Atletico wanapiga kabali huko ni nuksi , nipo naangalia game ya Madrid na Atletico ,ni mpera mpera , Madrid wepotezwa ,hawaonekani kabisa , hawa Kenge wa Asenyeli hawatapata short on target hata moja wakikutana na hawa wahuni Atletico ,waombe Madrid dhaifu hii ipite
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna mishabiki mingine humu ya Arsenyau inachekelea, inasema bora kukutana na Madrid yoyote lakini sio kukutana Bayern Munich[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna mishabiki mingine humu ya Arsenyau inachekelea, inasema bora kukutana na Madrid yoyote lakini sio kukutana Bayern Munich[emoji16][emoji16][emoji16]
We waache tu ,akili zitawakaa vizuri robo fainali .Ni kupelekewa moto tu left and right ,uzuri wanakutana na wababe wa kazi hizo ,
 
Back
Top Bottom