Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ishacheza blocking ya hatari dhidi ya prime city na wengine wakasema Arteta muoga.

Juzi liver kafanya blocking wakasema slot ni genius.

Atletico inafanya blocking inasifiwa.

Ujinga mwingine siyo wa kuentertain kwakua watu wengi hawajui mpira na mechi hawaangalii. No need kujibu utumbo
 
Muda kidogo nyuma fools were all over internet furious kwanini Arsenal inascore set pieces sana.

Wiki iliyopita nakuta article inahoji kwanini Arsenal haiscore tena set pieces.

Wapuuzi hawatakosa cha kulalamikia au kudogosha chochote tunachofanya
 
Kwa anayeangalia mechi atajua kwamba hii display ya leo au iliyopita ya Atletico is weak.

Liverpool walishakutana na Atletico, kilichowakuta walikua wanahema timu nzima kasoro Becker. Both two legs ilikua ni determination, tactics, focus and stamina display ya hali ya juu.

Ambaye hajawahi kuona atadhani this is their best. No.
 
Carlo, experienced manager, knowing if they take it to the penalty shootout Vini is already bruised psychologically anamtoa nje.
 
Atletico wanted this kufika kwenye penalties na ni kumuamini Oblak kunafanya wawe confident kuja huku.

But Oblak kashapotezwa maboya mara mbili na Thibaut siyo mnyonge. Let's see
 
Expensive signing, Alvarez, anaonekana amefanya double kicking ya penati na anakua amekosa ingawa mpira uliingia wavuni
 
Atletico wanted this kufika kwenye penalties na ni kumuamini Oblak kunafanya wawe confident kuja huku.

But Oblak kashapotezwa maboya mara mbili na Thibaut siyo mnyonge. Let's see
Oblak huwa si mzuri wa penalti, labda kama alifanya sana mazoezi ya penalti
 
20250313_023550.jpg
 
Back
Top Bottom