Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Atletico wamapaaaambwa humu na akina Flano na wenzake utafikiri ni booonge la timu. Mimi nilikuwa nasoma tu comments huku nacheka kwa dharau. Wale washukuru sana wametolewa. Wameokolewa kutoka kwenye noma moja mbaya sana ambayo wangekutana nayo na machalii wa Arteta. Yaani tungewapiga kama ngoma.
 
Wanangu huu mwaka naomba mchukue hii Ndoo uya UEFA kiroho safi, naamini kikosi chenu kilichokamili kinamfurusha madrid vizuri kabisa bila shida.
 
Atletico wamapaaaambwa humu na akina Flano na wenzake utafikiri ni booonge la timu. Mimi nilikuwa nasoma tu comments huku nacheka kwa dharau. Wale washukuru sana wametolewa. Wameokolewa kutoka kwenye noma moja mbaya sana ambayo wangekutana nayo na machalii wa Arteta. Yaani tungewapiga kama ngoma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao machalii wa Tetea wameshindwa kuifunga Westham, Forest na Man Utd yangu mbovu ndio wangeweza kuwafunga vijana machachari wa Diego Semione?
Nina uhakika kwa ile forward yenu ya kina Moringo msingepata shot on target hata moja.
 
MOTM award inaenda kwa Sterling
20250313_110253.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu hamis77 muda mrefu sana ulikua unatamani timu yako ikutane na Real Madrid ili muioneshe dunia kua Arsenyo ndio The best team in the world interm of pressing & overloading, positional interchange na flexibility bila ya kusahau aerial duel na set pieces.
Hatimae Mungu amesikia kilio chako na kuwakutanisha na mashababi wa Don Carlo, hivyo mimi pamoja na mashabiki wengine wote humu tumeshakusamehe kwa yote uliyokua unatudanganya, tunakuomba urudi kwenye hili jukwaa tugange yajayo.
Hakika hili jukwaa si lolote si chochote bila ya zile false hopes zako, chawa zako kina mkorea na arsenal2004 walijaribu kuvaa viatu vyako lakini havijawatosha, matokeo yake wameishia kupata matege kutokana na uzito wa viatu vyako, tunakuomba ndugu yetu Masingeli urudi humu ili tuyajenge upya.
1714807120146.jpg
 
Mechi kama ya jana ndiyo wakina Butler unawapa time.

Sielewi Arteta na benchi lake wanawaza nini
Ilimsaidia Sterling kuchangamsha mwili kidogo. Pia iliwasaidia akina Kiwior, Ben White, Jorginho, Tierney na Zinchenko kupata match fitness.

Kwa upande wangu hata Raya, Gabriel, Rice na Merino sikutaka wacheze.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu hamis77 muda mrefu sana ulikua unatamani timu yako ikutane na Real Madrid ili muioneshe dunia kua Arsenyo ndio The best team in the world interm of pressing & overloading, positional interchange na flexibility bila ya kusahau aerial duel na set pieces.
Hatimae Mungu amesikia kilio chako na kuwakutanisha na mashababi wa Don Carlo, hivyo mimi pamoja na mashabiki wengine wote humu tumeshakusamehe kwa yote uliyokua unatudanganya, tunakuomba urudi kwenye hili jukwaa tugange yajayo.
Hakika hili jukwaa si lolote si chochote bila ya zile false hopes zako, chawa zako kina mkorea na arsenal2004 walijaribu kuvaa viatu vyako lakini havijawatosha, matokeo yake wameishia kupata matege kutokana na uzito wa viatu vyako, tunakuomba ndugu yetu Masingeli urudi humu ili tuyajenge upya. View attachment 3268917
Tulikuwa tumejipanga kukutana na Livakuku semi final, ila wacha tu tukutane na hao hao PSG.
 
Kuna mashabiki wa Arsenal wamelalamika mitandaoni kwamba Emirates haikujaa. Wanahisi ni kwa sababu wengi waliona tumeshafika robo fainali hivyo wakaona waokoe pesa zao mpaka mechi ya Madrid au waendelee na shughuli zao zingine. Wapo walioumia sana kuona hali kama ile huku wao wakisema wako tayari kuuza figo ili kuangalia game Emirates, hivyo hawaelewi watu wanaachaje fursa ya kuangalia game eti kisa waliona tumeshapita.
 
Tulikuwa tumejipanga kukutana na Livakuku semi final, ila wacha tu tukutane na hao hao PSG.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nataka Masingeli arudi kwanza ili tumalizane na Madrid, ila Masingeli alijua kuwachania watu mikeka, kuna kipindi alikua anawahimiza mashabiki wa Arsenyo kama hawana hela waweke hata nyumba zao na wake zao rehani wakaibetie Arsenyo inabeba ndoo 2023/2024
Lijamaa lilikua lina ushawishi sana lile, huenda hata Ever yule aliekutana nae kule kwenye bustani ya Adeni akamshawishi kula tunda alikua ni Masingeli ila jumba bovu likamuangukia shetani.
 
Kipindi cha Wenger ilikua ni tatizo kwetu kwakua alikua na tabia ya kutobadilika kuendana na mechi.

Kila mechi ilikua anataka kushambulia. Ndiyo sababu kuna defeats zilionekana zingeweza kuzuilika.

With Arteta tumebadilika from time to time kuendana na mechi husika and it paid off. Na hii imetokea sana msimu uliopita.

Msimu huu hatujabadilika sana. Mostly kwakua tumeanza na majeruhi, tupo na majeruhi na tumeendelea kujishikilia tusianguke.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nataka Masingeli arudi kwanza ili tumalizane na Madrid, ila Masingeli alijua kuwachania watu mikeka, kuna kipindi alikua anawahimiza mashabiki wa Arsenyo kama hawana hela waweke hata nyumba zao na wake zao rehani wakaibetie Arsenyo inabeba ndoo 2023/2024
Lijamaa lilikua lina ushawishi sana lile, huenda hata Ever aliekutana nae kule kwenye bustani ya Adeni alikua ni Masingeli ila wanasiasa wakaamua kumsingizia shetani.
Kwamba bwana hamis77 ndiye aliyemrubuni Adamu kula tunda 😄😄😄😄🙌🙌🙌
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu hamis77 muda mrefu sana ulikua unatamani timu yako ikutane na Real Madrid ili muioneshe dunia kua Arsenyo ndio The best team in the world interm of pressing & overloading, positional interchange na flexibility bila ya kusahau aerial duel na set pieces.
Hatimae Mungu amesikia kilio chako na kuwakutanisha na mashababi wa Don Carlo, hivyo mimi pamoja na mashabiki wengine wote humu tumeshakusamehe kwa yote uliyokua unatudanganya, tunakuomba urudi kwenye hili jukwaa tugange yajayo.
Hakika hili jukwaa si lolote si chochote bila ya zile false hopes zako, chawa zako kina mkorea na arsenal2004 walijaribu kuvaa viatu vyako lakini havijawatosha, matokeo yake wameishia kupata matege kutokana na uzito wa viatu vyako, tunakuomba ndugu yetu Masingeli urudi humu ili tuyajenge upya. View attachment 3268917
Hiyo mechi Arse8 anaenda kupata aibu ya mwaka. Madrid anaingia hiyo mechi akiwa na advance ya Ushindi
 
UEFA uwa ina zile crazy moments na mostly Madrid ndio vitu vyake, siioni Arsenal ikiwa na izo Elements.
Yaan unaamini huyu kaisha, from no where meza inapinduka.
Hatuna team ya kuitoa madrid labda bahati iwe upande wetu ila kwa Experience bado ni underdog kwa madrid.
 
Sisi wenyewe tuliopangiwa na hao Madrid tumetulia tuliiiliii, "hatuna pressure" kabisa.

Ila Nyumbu na ndugu zao, usingizi wamekosa kabisa kwa taarifa hiyo ya juu.
 
UEFA uwa ina zile crazy moments na mostly Madrid ndio vitu vyake, siioni Arsenal ikiwa na izo Elements.
Yaan unaamini huyu kaisha, from no where meza inapinduka.
Hatuna team ya kuitoa madrid labda bahati iwe upande wetu ila kwa Experience bado ni underdog kwa madrid.
Agreed
 
Back
Top Bottom