Gwajo
Member
- Apr 8, 2024
- 50
- 84
Daaaaaaah!!! Naona unawasagia kunguni tu.[emoji2969][emoji2969][emoji2969] Nawaombea Nottingham, Chelsea na Mancity washinde mechi zao zote zilizo salia ili Arsenyau amalize ligi nje ya top4.View attachment 3265100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaaaah!!! Naona unawasagia kunguni tu.[emoji2969][emoji2969][emoji2969] Nawaombea Nottingham, Chelsea na Mancity washinde mechi zao zote zilizo salia ili Arsenyau amalize ligi nje ya top4.View attachment 3265100
Hakuna team isiyo na wachezaji wa kawaida ,na hakuna namna team inaweza kuwa na wachezaji Bora kila nafasi ndio maana hata Madrid mabingwa wa ulaya Kwa sasa unaona midfield yao Ina yumba baada ya ton kuoumzika na Luka kuchoka, wamebaki wachezaji wa kawaida sanaKila siku nasema humu ili arsenal muanze kupata vikombe kuna takataka nyingi hapo
: Odegaard, partey, Rice(hana consistent), trossard, sterling (huyu afungwe jela kabisa anakula mshahara hewa), Skely, Calafiori., Martineli, havertz, na kenge zote zilizopo on loan zikiongozwa na Fabio,,, !
Wa kubaki Arsenal ni Gabriel M, Saka, Saliba, Raya , Timber ,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bado wanapumua niambie tuongeze marungu mengine.Daaaaaaah!!! Naona unawasagia kunguni tu.
Mkuu una miaka 13 sasa hujabeba epl[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bado wanapumua niambie tuongeze marungu mengine.
Hakuna kitu inanipa furaha kama kuona mashabiki wa Arsenyau timu lao linavyowatesa kila inapofika mwisho wa msimu.
Narudia.Kwa kuzingatia takwimu za jana na kikosi tungecheza na Atletico, Lille au Madrid jana tungefungwa.
Jana Arsenal ilikua ina big chances 6 dhidi ya PSV.
Atletico, Madrid na Lille statistically hawajapaki basi ila waliweza kuzuia mpinzani asitengeneze big chance. Wakati Arsenal ilimpa PSV big chances 3.
Pamoja na hayo, hizi timu 3 zote zina ST na forwards ambao kitakwimu wanatafuta magoli. They do it better kiasi kwamba ingawa hawana big chance ila waliweza kuscore.
Means, watajaribu kuscore kwa set pieces na hapohapo ni kuconvert possibility into a chance. Jambo ambalo Arsenal kwetu ni la moto.
This means, bila kubadilika sisi hatuna maisha marefu huko mbele. Kubadilika iwe kimfumo, mindset au wachezaji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni kweli kabisa tuna miaka 13 hatujabeba Epl ila nyinyi mna miaka 21 hamjabeba Epl, kiufupi kuna mashabiki wa Arsenyo wako university hivi sasa ila hawajawahi kushuhudia timu yao inabeba Epl tokea wazaliwe.Mkuu una miaka 13 sasa hujabeba epl
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Castr baada ya kumalizana na hao wanywa ulanzi(Waholanzi) unaona kuna dalili yote ya kusonga mbele na kubeba kombe kwenye hii michuano ya Mabingwa wa Ulaya?Narudia.
Hatujabadilika tumesuluhu na nyumbu.
Tunaenda kwenye CL sasa
Haram football na kutegemea kushinda kwa penati.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Castr baada ya kumalizana na hao wanywa ulanzi(Waholanzi) unaona kuna dalili yote kusonga mbele na kubeba kombe kwenye hii michuano ya Mabingwa wa Ulaya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli hivi sasa sijui hata ana hali gani huko aliko?Haram football na kutegemea kushinda kwa penati.
Nje ya hapo chances ni chini ya 50%
Vishuti kama anampigia dada yakeVile vimashuti alivyokuwa anapiga odegaard haviusiani na sisi kukosa number 9,so kuna tatizo nikipata muda ntaaddress ila sio number tisa
Kuna watu wehu dunia hii.Mnyama kaganda hewani.😀
View attachment 3266676
Ila buloo na wewe ubingwa ni kubaki EPL na kusuluhu na Arsenal.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio tumekubaliana Arsenyau ubingwa wetu msimu huu ni kumfunga City goli 5 na Psv goli 7 jumla tuna makombe mawili.