Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ashindwe Fabregas aweze Odergaard[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Odegaard wakati anatoka Madrid alikua ni mchezaji maana kabisa, ila kina Lacazette ndio walimuharibia future yake.
1741550613533.jpg
 
[emoji2969][emoji2969][emoji2969] Nawaombea Nottingham, Chelsea na Mancity washinde mechi zao zote zilizo salia ili Arsenyau amalize ligi nje ya top4.
1741551075222.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wazee wa Netflix tayari mmeshakubali kunyanyua mikono juu, msikate tamaa wanangu pambaneni points 15 sio nyingi sana[emoji16][emoji16][emoji16]
Kamalizaneni na wanywa ulanzi(Waholanzi) halafu mkakutane na kina Mbappe wanawasubiria kwa hamu.
Sawa arsenal2004
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Matokeo ya mechi 3 za mwisho za mabingwa watarajiwa wa Epl 2024/2025.
Man Utd 1-1 Arsenyo
N.Forest 1-1 Arsenyo
Arsenyo 0-1 Westham

Arsenyau mpo kwenye right track, anaebisha kua Arsenyo sio bingwa msimu huu hana akili, atangulie Mirembe atakuta file lake linamsubiria.


893747375.jpg
 
🗣️ Declan Rice on if the title race is over: “It’s not over yet, we need to keep pushing… we are Arsenal!” 😤

Declan Rice: “2nd half we did things we haven’t done all season. It was very naive in the last 10 minutes and we could have easily handed the game to Man United. A bit of stupidity from us.”
 

Attachments

  • OIP.jpeg
    OIP.jpeg
    32.2 KB · Views: 1
Kuna watu wanadhani Arteta kumpanga Odegaard labda haoni mapungufu yake, ni hivi Odegaard alisajiliwa km project lkn amegeuka kuwa a disappointment, kupata regular spot ni kwamba there's no replacement, mbadala wake ni fabio viera ambaye naye ni project, lkn within the next two seasons simuoni akiwa mchezaji wa Arsenal. Kwa sasa kiufundi Odegaard ana umuhimu kwenye maeneo mawili, build up na press lkn kwenye zone yake he is a liability, maana yake kwa ujio wa physical ST km Isaak, Osimhen or Sesko na an orchestra #6 kama zubi, Odegaard anakuwa useless in the team, utahitaji no.10 ambaye ni more creative, mwenye transitional threats, goal scoring ability, kubwa zaidi ball striking ability.
Mjomba mbona unatema sana nyongo. Hii Arsenal ukiifuatilia sana unaweza ukakonda tu bila ya sababu.

Mi mwenzio nishakubali tufungwe au tushinde, naendelea na mambo yangu. Sio kama zamani ukifungwa unaona tabu hata kuingia mtandaoni.
 
This time next week Arsenal itakua imepata Director in the name of Berta.

Nafikiri hii inamaanisha bado Arsenal na Arteta tuna safari ndefu.
 
Back
Top Bottom