Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kombe Moja letu mkuu, kaa kwa kutulia
kombe pekee lenye mnaweza nyenyua kwa msimu huu ni ili tu😁😁😁
IMG-20230521-WA0024.jpg
 
Kwa kuzingatia takwimu za jana na kikosi tungecheza na Atletico, Lille au Madrid jana tungefungwa.

Jana Arsenal ilikua ina big chances 6 dhidi ya PSV.

Atletico, Madrid na Lille statistically hawajapaki basi ila waliweza kuzuia mpinzani asitengeneze big chance. Wakati Arsenal ilimpa PSV big chances 3.

Pamoja na hayo, hizi timu 3 zote zina ST na forwards ambao kitakwimu wanatafuta magoli. They do it better kiasi kwamba ingawa hawana big chance ila waliweza kuscore.

Means, watajaribu kuscore kwa set pieces na hapohapo ni kuconvert possibility into a chance. Jambo ambalo Arsenal kwetu ni la moto.

This means, bila kubadilika sisi hatuna maisha marefu huko mbele. Kubadilika iwe kimfumo, mindset au wachezaji.
Hatuna shida zaidi ya majeruhi, timu ninayoihofia ni Real Madrid sababu ya ubora wao, Atletico na inter watatupa a good game sababu ya low block na counter, wengine sina hofu nao kabisa.
 
Hata mimi nimewaza kama wewe. Huyu PSV tungemalizana naye kwa zile tatu za mwanzo. Halafu Manyumbu tuwapige 2 - bila, halafu PSV tutoe nae sare ya 0-0 wakija Emirates. Hapo bado tuna chenji ya magoli mawili. Tukikutana na waMadrid, tunapiga 1-0 kwao na 1-0 kwetu, tunazama nusu fainali fresh kabisa kuanza upya na Livakuku.
Kwahiyo liverpool washafika semis?
 
Kuna kila dalili unaweza kufa bila kushuhudia epl au uefa ikibebwa na arsenal ,nimelia sana
Kuna mshkaji wangu wa Arsenal lia lia, nilikua namwambiaga hivi hivi, soo sad kafa juzi kwa ajali imeniuma sana aisee, sahv sina wa kumcheka dah!
Imeniuma sana.I wish angeshuhudia Arsenal yake ikibeba ubingwa kabla hajafa.
 
Arsenal kashinda goli saba lakini cha ajabu washabiki wa soka hawaipi nafasi kabisa ya kuchukua ndoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa baiskeli ya kunolea visu unaipaje nafasi ya ushindi kwenye mashindano ya mbio za baiskeli?
Arsenyo ni sawa na baiskeli ya kunolea visu au jenereta, mikelele mingi ila kila msimu ipo palepale tu.
 
Kuna mshkaji wangu wa Arsenal lia lia, nilikua namwambiaga hivi hivi, soo sad kafa juzi kwa ajali imeniuma sana aisee, sahv sina wa kumcheka dah!
Imeniuma sana.I wish angeshuhudia Arsenal yake ikibeba ubingwa kabla hajafa.
We jamaa unauma ukipuliza😂
 
Back
Top Bottom