mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Kombe Moja letu mkuu, kaa kwa kutulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau hichi mlichofanya ni kutukana mamba kabla hamjavuka mto.
April sio mbali. View attachment 3259605
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kombe Moja letu mkuu, kaa kwa kutulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau hichi mlichofanya ni kutukana mamba kabla hamjavuka mto.
April sio mbali. View attachment 3259605
kombe pekee lenye mnaweza nyenyua kwa msimu huu ni ili tu😁😁😁Kombe Moja letu mkuu, kaa kwa kutulia
Hatuna shida zaidi ya majeruhi, timu ninayoihofia ni Real Madrid sababu ya ubora wao, Atletico na inter watatupa a good game sababu ya low block na counter, wengine sina hofu nao kabisa.Kwa kuzingatia takwimu za jana na kikosi tungecheza na Atletico, Lille au Madrid jana tungefungwa.
Jana Arsenal ilikua ina big chances 6 dhidi ya PSV.
Atletico, Madrid na Lille statistically hawajapaki basi ila waliweza kuzuia mpinzani asitengeneze big chance. Wakati Arsenal ilimpa PSV big chances 3.
Pamoja na hayo, hizi timu 3 zote zina ST na forwards ambao kitakwimu wanatafuta magoli. They do it better kiasi kwamba ingawa hawana big chance ila waliweza kuscore.
Means, watajaribu kuscore kwa set pieces na hapohapo ni kuconvert possibility into a chance. Jambo ambalo Arsenal kwetu ni la moto.
This means, bila kubadilika sisi hatuna maisha marefu huko mbele. Kubadilika iwe kimfumo, mindset au wachezaji.
Kwahiyo liverpool washafika semis?Hata mimi nimewaza kama wewe. Huyu PSV tungemalizana naye kwa zile tatu za mwanzo. Halafu Manyumbu tuwapige 2 - bila, halafu PSV tutoe nae sare ya 0-0 wakija Emirates. Hapo bado tuna chenji ya magoli mawili. Tukikutana na waMadrid, tunapiga 1-0 kwao na 1-0 kwetu, tunazama nusu fainali fresh kabisa kuanza upya na Livakuku.
Inter tulikutana nao wakatufunga.Hatuna shida zaidi ya majeruhi, timu ninayoihofia ni Real Madrid sababu ya ubora wao, Atletico na inter watatupa a good game sababu ya low block na counter, wengine sina hofu nao kabisa.
Naona wana uwezo huo kwa sana tu kwa sasa.Kwahiyo liverpool washafika semis?
Kuna mshkaji wangu wa Arsenal lia lia, nilikua namwambiaga hivi hivi, soo sad kafa juzi kwa ajali imeniuma sana aisee, sahv sina wa kumcheka dah!Kuna kila dalili unaweza kufa bila kushuhudia epl au uefa ikibebwa na arsenal ,nimelia sana
Wanangu hawa PSG tuliwafungaje asee sio kwa huu moto anaopelekewa Liverpool.leo wamejitahidi
Maisha ya mpira ndio yalivyo kila mmoja na mbabe wakeWanangu hawa PSG tuliwafungaje asee sio kwa huu moto anaopelekewa Liverpool.
Mechi imeishajeMaisha ya mpira ndio yalivyo kila mmoja na mbabe wake
Kwamba hatujamfunga mtu saba au vp mbn sielewiHumu mnadanganyana sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa baiskeli ya kunolea visu unaipaje nafasi ya ushindi kwenye mashindano ya mbio za baiskeli?Arsenal kashinda goli saba lakini cha ajabu washabiki wa soka hawaipi nafasi kabisa ya kuchukua ndoo
We jamaa unauma ukipuliza😂Kuna mshkaji wangu wa Arsenal lia lia, nilikua namwambiaga hivi hivi, soo sad kafa juzi kwa ajali imeniuma sana aisee, sahv sina wa kumcheka dah!
Imeniuma sana.I wish angeshuhudia Arsenal yake ikibeba ubingwa kabla hajafa.